uwasilishwaji wa ripoti ya madini jumatatu

chelsea fc

JF-Expert Member
Nov 10, 2011
864
211
Wakuu naombeni msaada nataka niiangalie hiyo ripoti live kupita link wa web ya ikulu kwa kutumia laptop yangu sasa nifanyeje nipo mbali na tv na sitaki kupitwa na ndondo zitakaxo shushwa siku hiyo
Msaada wenu tafadhali
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom