Wengine watufokea na kututisha, tena wanaamuru tukamatwe... when it comes to Audience Management, none like Tundu Lissu! Anayekaribiana naye ni Mwl. Nyerere tu.
Katika hawa watatu uliowataja Dr Slaa alikuwa na uwasilishaji bora kabisa wa hoja na kwa kiasi fulani alifanikiwa kwenda deep hasa kwenye masuala ya chakula, maji na sera ya mambo ya nje.
Ila kwa sasa huyu Tundu Lissu anapiga vizuri sana tena kwa mazingira halisi zaidi kulingana na mahitaji ya kisiasa na kimkakati ya sasa.
Cheers to TL
Technical knockout ni pale alipomjibu prof kuhusu Uhuru na maendeleo; ka ningekuwa mm ningejiudhuruNaona mode wamefuta ule uzi wa magufuli kukatiwa matangazo na TBCCM kisa kukataliwa huko kagera inawezekana jamiiforam ishafika bei.
kimenuka bukoba ! kumbe hawakusahau !Kuna tofauti kati ya fasihi Andishi na Simulizi. Sera za vyama zimeandikwa na kuchambuliwa kwenye vitabu. Ukiachilia mbali kwamba sio wote wanaweza kupata vitabu hivyo lakini pia sio wote wanaoweza kusoma wakaelewa.
Tundu LISU anatumia muda wake mwingi wa kampeni kunadi sera zake kwa njia ya UHALISIA " Realities " .Jambo hili linawakera sana CCM kwa sababu anachofanya ni kama mwalimu anavyofundisha darasani.
Anaanza kueleza tatizo kwa kulitaja ..Kwa mfano ugomvi wa wakulima na wafugaji. Baada ya hapo anaeleza chanzo cha tatizo hilo..Mfano" Ardhi kubwa kumilikiwa na viongozi wakubwa au kampuni kadhaa na hapa anawataja kwa majina.
Baada ya hapo anaeleza jinsi walivyopata ardhi hiyo,kama ni kwa minajili ya vyeo vyao au kuuziwa isivyo halali au halali. Pia hueleza faida au hasara ya watu hao kujimilikisha ardhi hiyo.
Mwisho anarudi kwenye suluhisho kwa mujibu wa SERA za Chadema au kwa mujibu wa sheria za nchi ili kuonyesha UDHAIFU na kutowajibika kwa viongozi waliopo.
Huu ni uwasilishaji BORA kabisa wa SERA mpya na ambazo wananchi hawajazizoea au kuzielewa vizuri.
CCM na Tume (CCM) hawakutegemea kuona uwasilishaji huu. Walitamani awe anasoma kama ilivyoandikwa kwenye kitabu. Lakini pia walipenda waone uwasilishaji huo uwe kama alivyofanya Lowasa(2015) ,Dr Slaa(2010) au Freeman Mbowe (2005) ambao walikua wanazisema juu juu bila mifano hai inayowagusa wananchi wa eneo husika.
Hongera Tundu Lissu! shikilia hapohapo watu wanakuelewa sana na pia unawavuruga watu wa Lumumba. Hawana uwezo wa kujibu hoja zako,wanaishia kuandika "Magufuli 5 Tena".
kwa heshima tumuite Mwalimu Tundu Lissu
Hizi ni kampeni za urais, sasa kama anafanya vizuri kuwasilisha hoja unadhani wananchi hawajui kwamba kinachopiganiwa ni kura?!Uchaguzi wa urais Chadema wanaweza kushinda - in fact it's theirs to lose but the following must be done first and foremost:
1. Umati wa wahudhuriaji wa mikutano wahamasishwe kupiga kura:
Hili sijaliona Lissu akilisisitiza kwenye speeches zake. inabidi awe akiwahamasisha watu wote wenye kadi wazinyooshe juu au ambaye kaacha home anyooshe kidole. hii itakuwa inawakumbusha wapigaji kura wajibu wao # 1.
2. Kuhakikisha kura zote zinahesabiwa katika vituo vya kupiga kura na kutumwa systematically kwenda kwenye tallying centre(s).
3. Kuhakikisha CREDIBLE representatives wanakuwa deployed wakati wote wa kuhesabu kura na wawe wanapiga picha kurasa zenye matokeo na kuziwasilisha haraka kunakostahili (refer # 2 hapo juu). MUHIMU SANA.
... when it comes to Audience Management, none like Tundu Lissu! Anayekaribiana naye ni Mwl. Nyerere tu.
Porojo tu. Yeye aseme atafanya nini kwa watanzania. Watanzania hata kama hawajui kusoma wanaona picha ya flyover, ndege, hospital, na kadhalika. JPM mbele kwa mbele.Kuna tofauti kati ya fasihi Andishi na Simulizi. Sera za vyama zimeandikwa na kuchambuliwa kwenye vitabu. Ukiachilia mbali kwamba sio wote wanaweza kupata vitabu hivyo lakini pia sio wote wanaoweza kusoma wakaelewa.
Tundu LISU anatumia muda wake mwingi wa kampeni kunadi sera zake kwa njia ya UHALISIA " Realities " .Jambo hili linawakera sana CCM kwa sababu anachofanya ni kama mwalimu anavyofundisha darasani.
Anaanza kueleza tatizo kwa kulitaja ..Kwa mfano ugomvi wa wakulima na wafugaji. Baada ya hapo anaeleza chanzo cha tatizo hilo..Mfano" Ardhi kubwa kumilikiwa na viongozi wakubwa au kampuni kadhaa na hapa anawataja kwa majina.
Baada ya hapo anaeleza jinsi walivyopata ardhi hiyo,kama ni kwa minajili ya vyeo vyao au kuuziwa isivyo halali au halali. Pia hueleza faida au hasara ya watu hao kujimilikisha ardhi hiyo.
Mwisho anarudi kwenye suluhisho kwa mujibu wa SERA za Chadema au kwa mujibu wa sheria za nchi ili kuonyesha UDHAIFU na kutowajibika kwa viongozi waliopo.
Huu ni uwasilishaji BORA kabisa wa SERA mpya na ambazo wananchi hawajazizoea au kuzielewa vizuri.
CCM na Tume (CCM) hawakutegemea kuona uwasilishaji huu. Walitamani awe anasoma kama ilivyoandikwa kwenye kitabu. Lakini pia walipenda waone uwasilishaji huo uwe kama alivyofanya Lowasa(2015) ,Dr Slaa(2010) au Freeman Mbowe (2005) ambao walikua wanazisema juu juu bila mifano hai inayowagusa wananchi wa eneo husika.
Hongera Tundu Lissu! shikilia hapohapo watu wanakuelewa sana na pia unawavuruga watu wa Lumumba. Hawana uwezo wa kujibu hoja zako,wanaishia kuandika "Magufuli 5 Tena".
Sahihi kabisa... when it comes to Audience Management, none like Tundu Lissu! Anayekaribiana naye ni Mwl. Nyerere tu.
Na sisi wa huku masasi tunaiona wapi FlyoverPorojo tu. Yeye aseme atafanya nini kwa watanzania. Watanzania hata kama hawajui kusoma wanaona picha ya flyover, ndege, hospital, na kadhalika. JPM mbele kwa mbele.
nina uhakika wahusika wameyaona maoni yangu na watayafanyia kazi.Hizi ni kampeni za urais, sasa kama anafanya vizuri kuwasilisha hoja unadhani wananchi hawajui kwamba kinachopiganiwa ni kura?!
Wananchi watampigia kura Tundu Lissu, ondoa shaka.
Usimamizi ni mgumu sanaa, nchi nzima sio kitu kidogo, hilo jukumu ni la vingozi wa majimbo sasa sio la Tundu Lissu, hawajui watu wa maeneo aendayo, kupata credible people ni jukumu la viongozi wa majimbo ya uchaguzi ,mikoa ,wilaya hadi kata.
Ma ccm majizi lakini tutajitahidi kuyadhibiti.