Uwanja wa wanasaikolojia, (Para-profesional & Professional Psychologists) wote tukutane hapa

safi sana na kwanini taaluma ya afya ya akili inadharaulika Tanzania wakati ni moja ya taaluma inayoheshimika na kuangaliwa kwa ukaribu nchi za ughaibuni..pia hivi nikitaka mtoa ushauri(psychitrist TANZANIA WAPO?
Wanadharaulika kwasababu wao wenyewe pia ni wagonjwa wa afya ya akili mkuu
 
Wanadharaulika kwasababu wao wenyewe pia ni wagonjwa wa afya ya akili mkuu
Nadhani swala sio kudharaulika ila kilichopo ni kuwa bado watu hawajaelewa maana ya huduma hii, wengi wao wanaamini wanaumwa lakini tiba zao wanajua zinapatikana hospital tu!

Jambo ambalo linakosekana ni hawa au sisi wenyewe kuitangaza kazi na tasnia hii ya ushauri nasaha ijulikane,hapo tutaeleweka lakini sio kwamba wanafahamika na kudharauliwa !
 
Karibu kwa maswali ,Mimi ntajibu maswali yote yanayolenga kuielewa EQ emotional intelligence

Kuzielewa hisia zako na za watu

Mfano
Mambo Kama
Hasira
Chuki
Wivu
Sonona
Hofu

N.k

Pia ntatoa ushauri Kama mentor kwenye maswala mbalimbali kuhusu maisha ili kujengana kifikra.


Binafsi nafanya kazi Kama therapist zaidi katika kutoa insight na kutoa au ku-recommend therapeutic mbalimbali za kutumia ili kuvuka katika changamoto za msongo Wa mawazo.


Karibu Sana kwa maswali yote yanayohusu EQ emotional intelligence.
 
Aah wanasaikolojia wa bongo wengii wana stress... Za maisha yao wenyewe...

Ila ukitazama asilimia kubwaa tunajitibuu ubongo zetu wenyewe....
Ukweli mtupu kwa asilimia 10000000..... Mke wangu ana stress na matatizo ya kisaikolojia balaa. Ni mhitimu wa shahada ya Saikolojia. Nimepanga kumsaaidia kwa kum-bwaga pwaaaa!!
 
Nipo na doz inajina gumu silikumbuki ila kila nikimeza napata fatigue hata kijiko siwez shika.

Nataman kuacha doz ila Daktar ananambia bado 2 months. Kila ikifika wakat wa dawa nahis kifo hiki hapa.
 
Hello! Jf members !

Karibu kwenye uwanja huu tukutane wanasaikolojia, wahitimu na wanaoendelea na masomo ya saikolojia!

Psychology is the study of human mind/brain and behavior (saikolojia ni somo linalohusu akili au nafsi na tabia za mwanadamu)

Zaidi saikolojia kama huduma ya ushauri nasaha (Guidance and counseling) katika nyanja mbalimbali za kijamii kama mahusiano ya aina zote, elimu, afya ya mwili na akili n.k

Tutajadili historical background ya psychology Tanzania na matokeo yake hapa kwetu,

Tuone umhimu wa saikolojia na huduma zake hapa kwetu upoje?,

Jamii inafahamu nini kuhusu huduma za kisaikolojia?

Je wanasaikolojia wenyewe wana sema nini kuhusu hii huduma?

Je wameridhika kwa kiasi gani katika uwanja wa huduma za kisaikolojia?

Kuna ajira za kisaikolojia?

Mwanasaikolojia ana nafasi gani katika maisha yake na maisha ya watu wengine?

Tupeane uelekeo wapi huduna za kisaikolojia zimetoka, zilipo na zinapokwenda !!


5b66c438c898603e5bd551ff56ed62d3.jpg
Nimekuja

Hii Ni industry kubwa na pana Sanaaaaa..

✍️ Dr am 4 real PhD
 
Ukweli mtupu kwa asilimia 10000000..... Mke wangu ana stress na matatizo ya kisaikolojia balaa. Ni mhitimu wa shahada ya Saikolojia. Nimepanga kumsaaidia kwa kum-bwaga pwaaaa!!

Pole Sana mkuu

Kuwa muhitimu wa saikolojia haimfanyi kutokuwa na stress

Unachoweza kumsaidia mke wako au mchumba wako ni kuhakikisha anakuwa optimistic - kuwa na matumaini kuhusu MAISHA.

Ikiwa kuna kitu anaweza kukifanya na kikampa hela au kipato waweza muunganisha nacho.

AKILI ya binadamu pamoja na mwili wake ili ukae sawa inabidi awe na kitu cha Kumuweka busy.

Badala ya kumfukuza , Unaweza kumbadilisha katika hali yake kutoka kuwa na negative emotions into positive emotions.

Pia waweza mfundisha mambo ya emotional intelligence namna ya kuzielewa hisia zake ili awe positive.

Anaweza kuwa anapitia kipindi ambacho ni kigumu hivyo kila aliyepo karibu yake anamuona mbaya .

Mwambie afanye "Gratitude " kila siku na awe positive Sana
 
Nipo na doz inajina gumu silikumbuki ila kila nikimeza napata fatigue hata kijiko siwez shika.

Nataman kuacha doz ila Daktar ananambia bado 2 months. Kila ikifika wakat wa dawa nahis kifo hiki hapa.

Pole Sana.

Unapokuwa unapitia changamoto Kama hiyo

Kwanza unabidi ufate masharti ya daktari ili ufikie hatua ya kupona.

Pili unabidi usi-concentrate ktk ugonjwa wako unaopitia Ila concentrate katika jambo lingine.

Hatua hii unaweza kuianza kwa kufanya meditation (Tahajudi)

Ukimaliza meditation itakupatia Mindfulness - hali ya kuliwaza jambo moja pekee kichwani.

Ugonjwa wowote unabidi kuhakikisha unafatisha masharti ya daktari wako Ila usi- concentrate na huo ugonjwa.

Ukifanya hivyo utapata well being

NB: katika kuliwaza jambo moja pekee make sure hilo jambo linakuwa positive lenye tija.

Because ur thought becomes things.

All the best.
 
Back
Top Bottom