Uwanja wa wanasaikolojia, (Para-profesional & Professional Psychologists) wote tukutane hapa

safi sana na kwanini taaluma ya afya ya akili inadharaulika Tanzania wakati ni moja ya taaluma inayoheshimika na kuangaliwa kwa ukaribu nchi za ughaibuni..pia hivi nikitaka mtoa ushauri(psychitrist TANZANIA WAPO?
Wanadharaulika kwasababu wao wenyewe pia ni wagonjwa wa afya ya akili mkuu
 
Wanadharaulika kwasababu wao wenyewe pia ni wagonjwa wa afya ya akili mkuu
Nadhani swala sio kudharaulika ila kilichopo ni kuwa bado watu hawajaelewa maana ya huduma hii, wengi wao wanaamini wanaumwa lakini tiba zao wanajua zinapatikana hospital tu!

Jambo ambalo linakosekana ni hawa au sisi wenyewe kuitangaza kazi na tasnia hii ya ushauri nasaha ijulikane,hapo tutaeleweka lakini sio kwamba wanafahamika na kudharauliwa !
 
Back
Top Bottom