BioPsychologist
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 724
- 1,014
Hello! Jf members !
Karibu kwenye uwanja huu tukutane wanasaikolojia, wahitimu na wanaoendelea na masomo ya saikolojia!
Psychology is the study of human mind/brain and behavior (saikolojia ni somo linalohusu akili au nafsi na tabia za mwanadamu)
Zaidi saikolojia kama huduma ya ushauri nasaha (Guidance and counseling) katika nyanja mbalimbali za kijamii kama mahusiano ya aina zote, elimu, afya ya mwili na akili n.k
Tutajadili historical background ya psychology Tanzania na matokeo yake hapa kwetu,
Tuone umhimu wa saikolojia na huduma zake hapa kwetu upoje?,
Jamii inafahamu nini kuhusu huduma za kisaikolojia?
Je wanasaikolojia wenyewe wana sema nini kuhusu hii huduma?
Je wameridhika kwa kiasi gani katika uwanja wa huduma za kisaikolojia?
Kuna ajira za kisaikolojia?
Mwanasaikolojia ana nafasi gani katika maisha yake na maisha ya watu wengine?
Tupeane uelekeo wapi huduna za kisaikolojia zimetoka, zilipo na zinapokwenda !!