Uwanja wa uhuru ( shamba la bibi) lapigwa nyundo ili kuja upya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uwanja wa uhuru ( shamba la bibi) lapigwa nyundo ili kuja upya

Discussion in 'Jamii Photos' started by NDINDA, May 2, 2011.

 1. NDINDA

  NDINDA JF-Expert Member

  #1
  May 2, 2011
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 3,448
  Likes Received: 3,640
  Trophy Points: 280
  YTAKAMILIKA MWEZI NOVEMBA CHANZO http://www.skyscrapercity.com/showthread.php?t=1180275&page=12
  Uwanja wa UHURU maarufu kama shamba la bibi umeanza kubomolewa tayari kwa matengenezo ya uwanja huo ambao kwa sasa umesimamishwa kutumika .


  Msimamizi wa ujenzi huo XIAG YUZ HANG amesema matengenezo ya uwanja huo yatakamilika NOVEMBER mwaka huu na utakuwa juu na chini hivyo mashabiki wa soka watakaa sehemu mbili na wataondokana na usumbufu wa waliokuwa wanapata awali.​
  [​IMG][​IMG]
   
 2. Jidu

  Jidu JF-Expert Member

  #2
  May 2, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 1,167
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 180
  na hilo jukwaa la yanga limesha angushwa lote!
   
 3. MBUTAIYO

  MBUTAIYO JF-Expert Member

  #3
  May 2, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 532
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Mbio za sherehe ya miaka 50 ya Uhuru wa Tanganyika hizo .......
   
 4. NDINDA

  NDINDA JF-Expert Member

  #4
  May 2, 2011
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 3,448
  Likes Received: 3,640
  Trophy Points: 280
  ohoo labda kweli mkuu, nilikua sijagundua
   
 5. HOMOSAPIEN

  HOMOSAPIEN JF-Expert Member

  #5
  May 2, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 717
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 45
  Hii ni sawa na kuvunja magofu ya Bagamoyo au Pangani,nawashangaa viongozi wetu kwa kuharibu kumbukumbu muhimu za historia ya nchi yetu,hawaelewi hata ni kwa nini uwanja ule ulijengwa haraka kwa ajili ya kupokea uhuru wetu toka kwa mwingereza hawa watoto wetu au vizazi tutawaonyesha nini?hasa pahali nchi hii ilipopokea uhuru wake toka kwa mkoloni. Kwanini wasingejenga uwanja mwingine sehemu nyingine tukauita wa uhuru miaka 50 na ule ukabaki?mbona maeneo yapo kulikuwa na ulazima gani kuuvunja ule wa kihistoria na kuujenga upya kwa sherehe ya siku moja.wakati upo mwingine mkubwa kabisa pembezoni,tumekuwa warahisi sana kufuta historia yetu wenyewe,nahisi washauri wa Rais wetu hawana hisia ya utanganyika au utashi wa kutunza kumbukumbu za nchi hii au ni waoga kueleza ukweli,wenzetu watatucheka sana hasa hao waingereza hii ni aibu kubwa,sasa ndiyo naelewa ni kwanini wajerumani hawataki majengo yao hapa nchini yavunjwe au kukarabatiwa hata kupiga rangi hawataki mpaka wenyewe wakubali tena kwa usimamizi wao wenyewe.
   
 6. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #6
  May 2, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,964
  Likes Received: 722
  Trophy Points: 280
  Nami nimesikia hii habari,nilipopita last week nikashtuka niaje green stand?
   
 7. BornTown

  BornTown JF-Expert Member

  #7
  May 2, 2011
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 1,716
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Hivi Tanzania lini tutakuwa na akili ya kuweka kumbukumbu za kihistoria kwa vizazi vyetu??
  Nilitegemea kuwa huu uwanja wa Uhuru ni historia nzuri sana Tanzania kwa vizazi vijavyo lakini hakuna kitu walitakiwa kukarabati kwa kupaka rangi bila kubadilisha muundo hasilia sasa wanataka kutuwekea muundo wa kichina historia kwa watoto wetu na vizazi vyao watajifunzia nini kama wamesha chakachua na kuwa wa kichina???

  Hivi Makumbusho ya Taifa wanafanya kazi gani kwa jambo kama hili la kuharibu kumbukumbu za kihistoria kwa nchi yetu!
   
 8. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #8
  May 2, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Haya ni matengenezo au ujenzi mpya?
   
 9. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #9
  May 2, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Sawa tu wacha ujengwe ulikuwa umechoka sana
   
 10. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #10
  May 2, 2011
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Bongo dar es salaam
   
 11. m

  mzighani Senior Member

  #11
  May 3, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 110
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  safi sana kwa serikali kujenga uwanja mpya
   
 12. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #12
  May 3, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  ukiona hivyo ujue bado hajujapata uhuru wa fikra. Hebu pitia ubeti wa pili wa wimbo wa Bob Marley unaoitwa Redemption song
   
Loading...