Uwanja wa Taifa: Vodacom Premier League VPL, Yanga 1 SC Vs 0 Mbao FC

Yanga tia maji tia maji. Hawawezi kucheza dk 90. Wakati Simba inatamani mpira uwe dk 120 mashabiki wapati raha ya pasi gonga
 
Yanga tia maji tia maji. Hawawezi kucheza dk 90. Wakati Simba inatamani mpira uwe dk 120 mashabiki wapati raha ya pasi gonga
Kama Yanga tia maji basi bongo hapa hakuna team nzuri maana mpaka sasa haijapoteza mchezo.
 
Back
Top Bottom