Uwanja wa Taifa the place to be today!

Buyengwa

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
14,083
2,000
Salaam wanaJF. Leo mahala ambako mpenda soka anatakiwa awe ni Uwanja wa Taifa. Poleni kwa wale ambao hawatakuja kutokana na sababu mbalimbali. Msijali nitawawakilisha vyema.
 
Kigogo

JF-Expert Member
Dec 14, 2007
20,523
2,000
Salaam wanaJF. Leo mahala ambako mpenda soka anatakiwa awe ni Uwanja wa Taifa. Poleni kwa wale ambao hawatakuja kutokana na sababu mbalimbali. Msijali nitawawakilisha vyema.

mmmh kama JK haji itakuwa place to be alkini kwa kuwa ana gundu akija tu Taifa Stars inachezea kichapo
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom