Uwanja wa Taifa, tatizo vifaa au mfanyakazi kataka hivyo?

Ghazwat

JF-Expert Member
Oct 4, 2015
23,718
66,262
Huyu ni mfanyakazi uwanja wa Taifa akiwa katika maandalizi ya kuutayarisha uwanja kuelekea mchezo wa leo TPL.

Inawezekana vipi huyu mfanyakazi wa uwanja huu kuu wa Taifa, asiwe na vifaa vya kujikinga na hatari yoyote ile bila kuwa na Overall, Gamboots, gloves? Kulikoni hapo?
IMG_20180923_133236_147.jpg
IMG_20180923_133214_230.jpg
 
Huyu ni mfanyakazi uwanja wa Taifa akiwa katika maandalizi ya kuutayarisha uwanja kuelekea mchezo wa leo TPL.

Inawezekana vipi huyu mfanyakazi wa uwanja huu kuu wa Taifa, asiwe na vifaa vya kujikinga na hatari yoyote ile bila kuwa na Overall, Gamboots, Cloves? Kulikoni hapo?View attachment 875380View attachment 875381
upo sahihi
Huyo ni mpumbavu,chaki,chokaa,rangi ni kemikali
Alitakiwa awe na PPE kujikinga
 
Huyu ni mfanyakazi uwanja wa Taifa akiwa katika maandalizi ya kuutayarisha uwanja kuelekea mchezo wa leo TPL.

Inawezekana vipi huyu mfanyakazi wa uwanja huu kuu wa Taifa, asiwe na vifaa vya kujikinga na hatari yoyote ile bila kuwa na Overall, Gamboots, Cloves? Kulikoni hapo?View attachment 875380View attachment 875381
OSHA wapo bussy kwenda kudai rushwa kwenye makampuni ya watu binafsi
 
Back
Top Bottom