Uwanja wa siasa: LINGANISHA TANZANIA NA KOREA YA KASKAZINI

Ustaadh

JF-Expert Member
Oct 25, 2009
413
19
Kuna tunayoshabihiana na kutofautiana kati ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Kidemokrasi ya Watu wa Korea (Korea Kaskazini). Hebu yataje machache unayofahamu............
 
Korea Kaskazini - Rais anamwandaa mtoto wake kurithi kiti cha uraisi.
Tanzania - Kikwete anamwandaa Ridhiwani (au Salma) kurithi kiti cha uraisi.
 
Korea Kaskazini - Rais anamwandaa mtoto wake kurithi kiti cha uraisi.
Tanzania - Kikwete anamwandaa Ridhiwani (au Salma) kurithi kiti cha uraisi.

he, makubwa haya...Salma anaandaliwa kuwa RAIS tena? atasema yeye ana UZOEFU na IKULU au? hehhehe
 
Korea Kaskazini - Rais anamwandaa mtoto wake kurithi kiti cha uraisi.
Tanzania - Kikwete anamwandaa Ridhiwani (au Salma) kurithi kiti cha uraisi.
keshapewa U DR ??

progress.gif

:bathbaby::bathbaby::bathbaby:
 
Salma keshapewa u-Dr make kweli anaandaliwa kuwa Rais 2015. Waramba miguu ya mafisadi mpo?
 
Back
Top Bottom