Uwanja wa NMC-Kwa papara ili kuidhibiti CDM mizaha yafanyika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uwanja wa NMC-Kwa papara ili kuidhibiti CDM mizaha yafanyika

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Nicholas, Sep 20, 2012.

 1. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #1
  Sep 20, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,351
  Trophy Points: 280
  Uwanja wa NMC maarufu kwa mikutano ya CDM umewekewa uzio wa wavu kuzunguka.Wakiwa busy wakandarasi huku akina mama wakionekana kwa makundi wakikimbizana na watu wakigombea nafasi kiholela sana.Hakuna hata utaratibu wa kujua nani kapata nani kakosa au nani kapata nafasi zaidi ya moja.Katika hali inayoonekana kuwa ni kukurupuaka kabisa wengine wakitandika chini vipande vya magunia kwa staili wagombevyo wanafunzi madawati ktk shule za akina kayumba ,wengine wakikimbizana na wagawaji.Watu wengine wapita njia wakionekana kushangaa kwa kutojua nini kinaendelea pale.Hiyo ndio taswira ya enoe husika.Huku mkandara akiwa busy kuweka zege katika uzio, na kuchora lama katk uwanja ambao tayari kuna rundo la akina mama wanaokuja kwa fujo baada ya kukimbizwa na manispaa maeneo mablimbali aya mji.

  Cha kujiuliza kwanini zoezi limeenda haraka hivyo?mkandarasi anafanya kazi, hakuna banda lolote hata choo tayari watu wanaanza kimbiziwa huko, mkandarazi ndio kachora vipimo ardhini huku kwa kiasi kikubwa pakionekana kuwa hakuna eneo la parking lililotengwa kwa ajili ya wanunuzi na waleta mizingo,au hata wachukuzi wa mizigo mara mteja anunuapo vitu vingi.
   
 2. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #2
  Sep 20, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,078
  Likes Received: 10,438
  Trophy Points: 280
  Serikali ya ccm huwa inajichanganyaga sana...ona sasa hii ni nini?..
   
 3. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #3
  Sep 20, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Aiseee babaangu nitapata heka 5 hapo kwenye hicho kiwanja nijenge shell
   
 4. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #4
  Sep 20, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Mandela na ANC walicheleweshwa kwa miaka 27 lkn wakaja kutawala, CCM mnachofanya ni kutuchelewesha tuu lkn lazima mje kutimuliwa tu hata mfanyeje!!
   
 5. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #5
  Sep 20, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,351
  Trophy Points: 280
  Ni disaster tena katika uwanja uliwahi kuwa na matatizo sana na mmiliki wa magari ya usafirishaji arusha.Kesi yao sijui kama imeisha.Kwani kulikuwa na tatizo la mipaka.

  Pembeni wachina wapo busy kupitisha bomba jipya kubwa la maji taka yatokayo sehemu kubwa katikati ya mji.Fujo iliyokuwepo ilikuwa kama vile raia wagombeawo masalia ya gari lililopata ajali,huku wapita njia wasiojua nini kikiendela wakishangaa nje ya wavu,huku wakiulizana na kupeana majibu.Na mwisho kila mtu alionyesha chuki juu ya CCM na hakuna wa kuwabadili huo mtazamo.Siku y kufa kwa CCM, vibaraka wote kuteleza.
   
 6. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #6
  Sep 20, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,778
  Likes Received: 36,775
  Trophy Points: 280
  CCM wanapaparika.
  Hata mkifunga viwanja kamwe hamtaweza kufunga mioyo yetu.

  Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
   
 7. K

  Kamundu JF-Expert Member

  #7
  Sep 20, 2012
  Joined: Nov 22, 2006
  Messages: 2,109
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Ina maana gani kuwa na sehemu ya wazi kama wanapewa wamachinga.
   
 8. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #8
  Sep 20, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,351
  Trophy Points: 280
  Sijui NMC watapaki wapi malory yanayopeleka na kuchukua nafaka.Kwani ndani ya ukuta wao wana kaeneo kadogo sana kalichobaki.
   
 9. K

  Kamundu JF-Expert Member

  #9
  Sep 20, 2012
  Joined: Nov 22, 2006
  Messages: 2,109
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Hii sehemu iliachwa wazi kwasababu hakuna sehemu ya wazi karibu na mji sasa tukiwaruhusu machinga kuna tofauti gani na kufanya NMC soko!!. Kama nivyosema siku za nyuma Tatizo la Tanzania ni serikali iko sehemu nyingi sana!
   
 10. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #10
  Sep 20, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,799
  Trophy Points: 280
  Hao wote wanaoingia kwenye huo uwanja shukrani yao ni kwa chadema, kwa jinsi ccm wasivyojua kuwa wamehamishia mikutano ya chadema kwa sitingroom ya wakazi wote pamoja na ndugu zao watakaopata vieneo kwenye viwanja vya NMC.
  Na hii haihitaji polisi kuwazuia kujadili manake itakuwa ni mikutano ya ndani. Walidhani wamepata kumbe wamepatikana.
   
 11. J

  JERUSALEMU JF-Expert Member

  #11
  Sep 21, 2012
  Joined: Sep 19, 2012
  Messages: 2,739
  Likes Received: 1,795
  Trophy Points: 280
  ccm hawajui tu kuwa watanzania wameshaamua kuwa 2015 vyovyote iwavyo kura ni CHADEMA. wazindue barabara,meli n.k vyote ni bure hakuna kudanganyika tena.
   
 12. S

  Sipendi Ubepari JF-Expert Member

  #12
  Sep 21, 2012
  Joined: Jan 12, 2012
  Messages: 249
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  CcM mnazuia kimbunga kwa boxer?. Haiwezekani bhana
   
 13. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #13
  Sep 21, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Sitawahi kuona uamuzi wa kijinga kama huu!
   
 14. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #14
  Sep 21, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Utaona mkuu, tena very soon!
  Fuatilia vema rufani ya Ubunge hapo town utashuhudia mambo ya ajabu.
  Kama Jaji Mkuu anajiingiza kwenye shauri na siku ya kesi wadau wanashindwa kuamua akae upande gani kati ya walalamikaji na walalamikiwa hapo ndio vituko vya karne vinapoanza.
   
 15. T

  Triple DDD Senior Member

  #15
  Sep 21, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 151
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  It is only time will tell them that we are tired of these dirty games
   
 16. SOKON 1

  SOKON 1 JF-Expert Member

  #16
  Sep 21, 2012
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,114
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  305034_367269830018467_1103613490_n.jpg 390436_367267366685380_455396837_n.jpg 228105_367268600018590_828125976_n.jpg 545657_367268096685307_389246632_n.jpg
  hakuna miundo mbinu yoyote iliyojengwa, jua ni lao, wakati wa vua ni yao
   
 17. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #17
  Sep 21, 2012
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,523
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
 18. Wambugani

  Wambugani JF-Expert Member

  #18
  Sep 21, 2012
  Joined: Dec 8, 2007
  Messages: 1,755
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  Huu ni uamuzi wa Gaudence Lyimo a.k.a. Gaimo Contractors
   
 19. SOKON 1

  SOKON 1 JF-Expert Member

  #19
  Sep 21, 2012
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,114
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  hali si shwari NMC ni mawe yanarushwa uku mgambo wakipigwa
   
 20. chuki

  chuki JF-Expert Member

  #20
  Sep 21, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,691
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Bora kiawanja hicho kitu mike kwa manufaa kuliko mlivyokuwa mnakitumia kuuawa Watu. Hongera uongozi aw jiji la Arusha. Kama m
  Mnajilinganisha na Mandela, nendeni gierezani miaka 27 tuone kama mkitoka mtakuwa na kauli !
   
Loading...