aleesha
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 792
- 1,144
Hehehehehe! Uwanja wetu wa Ndege Mpya uliopo kiembe Samaki, utakuwa ni Uwanja wa ndege ambao umevunja rekodi ya dunia kwa gharama za ujenzi wake! Tukumbuke ya kuwa gharama za makisio ya mwanzo Budget yake ilikuwa ni USD 58M, lakini hadi muda nilionong'onezwa gharama imeongezeka kufikia USD 128M.
Kwa hivyo ukipiga hesabu ya haraka haraka utagundua ya kuwa kutokana na mradi wenyewe ulivyo tayari ushavunja rekodi ya dunia kwa ughali wa utengezaji wake kutokana na gharama ya square meter kila itakayojengwa.
Kuliko Dubai, Heathrow, Amsterdam na kwengine kokote kule... Mungu nipe uhai wenye kheri nami niyaone!
The Highest Level of Corruption.