Uwanja wa ndege wa Mwanza

Mkora

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
370
55
IMG00044-20100308-1154.jpg

This is the lowest piece of skill i ever seen
Swali langu ni kuwa
Je wakishamaliza utakuwa ni paved au un paved
Vile vile n hatari kwa ndege zisizokuwa na gravel kit ku cope,
Yaani ni pease ya VX mbili tuu inawashinda
 
Hivi why wahandisi hamuwezi ku properly advice hapo! Mnaharibu proffesion pale bwana kwa hizo funny temporary measures!! Problem ninayoiona pale kwa haraka haraka, pamoja na kwamba sijaona uwanja hivi karibuni, ni shoddy work by previous contractor where either the drainage works for the runway and taxiways was not up to standard and poor maintanance of the drainage system!! Kazi kwelikweli bongo!!
 
Haiwezekani wakaacha kifusi namna hii kwa hiyo nadhani unayoona hapo juu ni "Work in Progress" kwani lazima waweke lami aka tarmac. It better be, for otherwise I'll be inclined to go down to Rock City and shoot up these dumb asses with my 9 milli - and I bet they don't want that! :)
 
Hivi kusafiri kote kwa waheshimiwa wetu hawajifunzi kitu tuu jamni angalau tukabadilika!! :confused:
 
Mie ni Mhandisi wa ujenzi na kinachoendelea hapo mwanza kinanishangaza. barabara za lami zinafagiliwa kuondoa mchanga na kokoto ili kusaidia ongezeko la msuguano ambao usaidia breki lakini wenzetu wanaweka mchanga na kifusi juu ya lami. jambo hili linaweza kuwa la hatari zaidi maana friction itapungua kati ya tyre na pavement surface. Ndege zinaweza kusereleka.
Miaka michache iliyopita uwanja wa mwanza ulitumia fedha nyingi sana kukarabatiwa mifereji kwenye taxiway na running way. Hapo lazima kuna ufisadi umetokea kwani haijapita miaka mingi tangu mradi huo utekelezwe. naomba mikataba hii ichunguzwe upya na kazi zitathiminiwe vyema. mimi nilifikiria wenzangu (civil engineers) wangezibua hiyo mitalo na kuruhusu maji kutoka kwenye uwanja. Lakini vilevile tatizo linaweza kuwa kwenye pavement yenyewe kwa kukosa usawa (kuna mabonde). Nashauri wafanye utafiti wa chanzo na kukiondoa badala ya kufanya mambo yanayodhalilisha taaluma zetu!
 
Nafikiri wanajaribu kuusafisha uwanja baada ya matope kuingia katika kiwanja. Kimtazamo, hii inatokana na ujenzi wa kiwanja hicho kutokidhi mahitaji ya kihandisi katika mfumo mzima wa upitishaji wa maji.
Kuna wakati walisema wanataka kujenga kiwanja kikubwa cha kimataifa Mwanza. Sijui iliishia wapi. Hali yake si nzuri hata kidogo.
 
Mie ni Mhandisi wa ujenzi na kinachoendelea hapo mwanza kinanishangaza. barabara za lami zinafagiliwa kuondoa mchanga na kokoto ili kusaidia ongezeko la msuguano ambao usaidia breki lakini wenzetu wanaweka mchanga na kifusi juu ya lami. jambo hili linaweza kuwa la hatari zaidi maana friction itapungua kati ya tyre na pavement surface. Ndege zinaweza kusereleka.
Miaka michache iliyopita uwanja wa mwanza ulitumia fedha nyingi sana kukarabatiwa mifereji kwenye taxiway na running way. Hapo lazima kuna ufisadi umetokea kwani haijapita miaka mingi tangu mradi huo utekelezwe. naomba mikataba hii ichunguzwe upya na kazi zitathiminiwe vyema. mimi nilifikiria wenzangu (civil engineers) wangezibua hiyo mitalo na kuruhusu maji kutoka kwenye uwanja. Lakini vilevile tatizo linaweza kuwa kwenye pavement yenyewe kwa kukosa usawa (kuna mabonde). Nashauri wafanye utafiti wa chanzo na kukiondoa badala ya kufanya mambo yanayodhalilisha taaluma zetu!
Nafikiri haya ni moja ya mambo ambayo ERB na CRB wanatakiwa wawe wanaishauri serikali pia. Kuna wahandisi waliobobea kule na role yao sio moja tu ya kuwaangalia wahandisi na makandarasi.Inawezekana kabisa kukatokea matatizo makubwa kama haya mambo ya muhimu ya kihandisi yanafumbiwa macho.ERB na CRB kwa mtazamo wangu ni muhimu wakawa proactiave zaidi na mambo muhimu kama haya pia.
 
Back
Top Bottom