Uwanja wa ndege feki wafungwa Manyara.

Wakuligo

JF-Expert Member
Aug 8, 2013
259
106
Serikali wilayani Manyara imefunga uwanja wa ndege wa mwekezaji ambao umekuwa ukitumika kutua ndege za mwekazaji huyo bila vibali, ruhusa wala nyaraka zozote za serikali.

Pia uwanja huo umehusishwa na uwindaji haramu.

#nchi yetu bwana...#
 
Back
Top Bottom