kantasundwa
JF-Expert Member
- May 25, 2020
- 1,550
- 2,381
Poa poa mkuuNaona tupo pamoja hapa mkuu tukifika makao makuu ya chama nita ku pm
Poa poa mkuuNaona tupo pamoja hapa mkuu tukifika makao makuu ya chama nita ku pm
Nyalandu kuchepuka na Mdee that's bullshit, personal issues, pevuka kifikra; na Mbowe kutaka kuvuta pesa hizo ni hisia zako tu, siamini kama Mbowe anadanganyika kwa pesa, ingekuwa hivyo angeshakiuza chama siku nyingi sana.Mbowe kaingiwa na wivu baada ya kuona Tundu Lisu amekubalika zaidi ya nyalandu ambaye sasa anachepuka na mdee na pia mbowe anataka kuvuta pesa toka CCM awawekee garasa nyalandu ili CCM washinde kiwepesi lakini yeye katengeneza pesa, hii ndiyo hali halisi.
Rais anapita VIP, mtamuona kweli?!
Mbona uliacha wakamdhuru Mzee Mangula? Halafu hakuna aliehojiwa hata waliokuwa nae kwenye kikao cha kamati?Lisu ajihadhari sana na Mbowe, Lema, Halima Mdee na Ester Bulaya, hawa ndio walimpigia kura ya HAPANA hafai kuwa mgombea urais,wanamtaka Nyalandu, ujio wake umewakasirisha wanaweza kumdhuru, asipokee maji ya kunywa, chakula wala kushikana nao mikono
Leo hatalala ... ukichukulia bado ana machungu ya Kufiwa.Sasa ndo naelewa kwa nini Magufuli alipiga marufuku siasa bongo
TBC wapo live
Ahsanteni sana
Kwani ccm uwanja wa uhuru wamevaa mask?!COVID-19 imeisha?! No more masks, no social distancing etc. Hapa ndio ninatatizwa na sera za vyama vya upinzani hapa nchini.
Dw wapo hapo Airport wameongea na Lema mida hii, msafara kuelekea ofisi zao punde akishapokelewa
Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Kwamba Godfrey mungai humuoni? Umesimama wapi!Makomandoo wa Mitandaoni,terminal 3 kimya yuko Sugu Cathy Ruge Zwazwa Heche na wanafemili wao wachache kabisa