Uwanja wa Jamhuri, Morogoro | Vodacom Premier League VPL : Mtibwa Sugar 0 - 3 Simba SC

Kuwa yanga haimaanishi tusiwe na akili.wewe unasababisha yanga wote tuonekane vilaza.mimi kama kwa kuongea sense au ku reason ntaonekana simba haina shida.hainipunguzii chochote. Ila tuwe tunaongea kama wana michezo na si ushabiki maandazi.
Yanga wa wapi wewe?
Unafurahia maneno yao au wewe Mikia?
 
Shadeeya chukua Muwa mmoja nitakuja kulipa.

Simba nguvu mojaView attachment 1354584

Sent using Jamii Forums mobile app
Shadeeya Bingwa la nchi Mnyama mkali Simba sc leo ana kazi moja tu ya kuharibu mashamba ya miwa pale manungu.

Simba nguvu moja

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe Shadeeya toka ulikojificha Mnyama anakula miwa huku.

Simba nguvu moja

Sent using Jamii Forums mobile app
Daah. Mtani naona unanitambia tu leo. Lol.

Hongera.
 
wachezaji wa 5 ex Mikia + wachezaji 4 under 20 =ushindi wa mikia....balance equation 😇👋👋😇😇
 
Back
Top Bottom