Uwanja wa Jamhuri, Morogoro | Vodacom Premier League VPL : Mtibwa Sugar 0 - 3 Simba SC

Simba wanaupiga mwingi hapa Uwanja wa Jamhuri, Kulitaka Mwana

Wanakwenda Simba lakini, Kado anarudishiwa mpira ule na kuwa goal kick

Mtibwa Sugar 0-3 Simba SC
 
Bocco gool laaaaaaaaaa, ni konaa inapigwaaaaaa Kona inaokolewa

Kwake Kibwana Shomari, lakini anadhibitiwa na mabeki wa Simba
 
Mtibwa hawawezi pata goli maana wachezaji wa ndani wa mikia nao wanaruhusiwa kudaka

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata kwenyee mechi yenu hawakufunga kwa sababu hii
Screenshot_20200211-173036.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kadi ya Njano kwa mchezaji wa Simba Mkude

Wanarusha Mtibwa wa kwake Mbonde, kwake Issa tena wanapoteza inapigwaaaaaa langoni kwao, Konaaaaaa
 
Inapigwaaaaaa Kona na Chama, lakini Kado anaosha wakati huohuo yupo chini ameumia
 
Kocha huwa anazingua kupanga kikosi.. lkn kwa kikosi cha leo unawakosa vp mtibwa
 
75' Shamte anaingia kuchukua nafasi ya Kapombe.

Ameingia Luis kuchukua nafasi ya John Bocco, upande wa Simba SC
 
Huyu kocha wa Simba mzungu Sven ni bonge la kocha aisee, atawapa Simba ubingwa wa Afrika, apewe mkataba hata wa miaka 10.
 
Back
Top Bottom