kyagata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2016
- 6,519
- 12,604
Hivi sisi wenyewe hatuna uwezo wa kuijenga hiyo banadari ya bagamoyo kama kweli tuna uhitaji nayo?Tutamuamini vipi JPM ambaye mara nyingi tu alikuwa a lair.
Mfano kuna kipengele alisema kuwa tumewapa Wachina ardhi kwa miaka 99 kwenye huo mkataba wakati sheria za uwekezaji ndo zinasema hivyo hapa Tz..lakini yeue fastafasta tu kwa akatuambia tumepigwa..huyo ndo JPM.
Na kwa nini tujenge bandari mpya ilihali tulizonazo(Dar,Tanga na Mtwara) hatujaziutilize ipasavyo?