Uwanja wa Entebe kuchukuliwa na China kwa ajili ya Mkopo, Mashabiki wa Bagamoyo kaeni mkao wa kula

Unawezaje kusema watu wanaropoka..! Au una lako jambo

Watanzani wa kawaida tunakumbuka maneno ya hayati raisi wa awamu ya 5 mh Magufuri

Kwamba vigezo na masharti vya mkataba wa ujenzi wa bandari hiyo ni vya kihuni, na aliongea peupe na kujaribu kudodosa baadhi ya vifungu..(ningeambatanisha hiyo video hapa ila device ninayotumia hairuhusu)

Na ni Kweli ni vya kihuni ikiwa alichokisema kilikuwa ni sahihi

Halafu kwanini tuhangaike kote huko kuchukua neno la huyu mala yule.! Kwani chombo kama bunge kazi yake nini.?

Lijadiliwe kweupe tu watanzani hatuna shida sisi tutaridhika tu hata kama tunapelekwa chaka
Sio kuridhika tu lazima tusimame kutetea rasilimali zetu,Tanzania ni yetu sote kwanini wafaidi wachache?
 
Ile ni free port ambayo uwekezaji wake ni more than 10trillion s

Hakuna mkataba uliowahi kuingiwa, serikali ipo kwenye negotiation, sasa ukitaka kuamini maneno ya Magufuli haya, ukitaka kuamini ya Waziri wa uwekezaji haya, ukitaka kuamini unayoami I haya. JF ipo tutakuja kujadili tena

Kwanza kukopa tunaweza Ila ni vema kufahamu kwamba ujenzi wa Bandari ni gharama kubwa sana na pesa kurudi inachukua muda sio chini ya miaka 30 sasa ni Bora kuingia concession au JV unaingiza pesa kiasi na nyingine inaemda kwenye mambo mengine.

Pia Ile Bandari ya Bagamoyo ni ya kuchimba (dredging) hiyo ni gharama kubwa na inahitaji utaalamu zaidi.

Kumbuka ujenzi wa berth kadhaa za pale Dar port imebidi World Bank ndio watusaidie kwa kutupatia Grant maana gharama take sio mchezo Sasa ndio itakuwa hiyo ya kuchimba kuongezea kina? Wanachimba sababu kina kofupi kulingana na meli ambazo wanatarajia kutia nanga kwenye gati za hapo pindi itakapokamilika maana watakuwa wanaleta meli kubwa sio hizi ndogo.
Tukubali kuwa ni gharama kubwa kujenga bandari. Lakini kwa nini China ikope ili itukopeshe? ChIna ikikopa (EXim) italipa kwa interest. Sisi tukiikopa China tutalipa na interest yetu pamoja na yao. SWAli: Kwa nini tusikope sisi moja kwa moja, maana interest itakuwa nafuu.
 
Tukubali kuwa ni gharama kubwa kujenga bandari. Lakini kwa nini China ikope ili itukopeshe? ChIna ikikopa (EXim) italipa kwa interest. Sisi tukiikopa China tutalipa na interest yetu pamoja na yao. SWAli: Kwa nini tusikope sisi moja kwa moja, maana interest itakuwa nafuu.
Nadhani Kuna kitu hujaelewa, kampuni inatoka China ndio inakopa nasi titaform kampuni itatafuta pesa sasa kama serikali Ina pesa itatoa kama haina itakopa na sijasema itakopa China , itatafuta pa kukopa kulingana na watakavyoona inafaa.
 
Tutamuamini vipi JPM ambaye mara nyingi tu alikuwa a lair.

Mfano kuna kipengele alisema kuwa tumewapa Wachina ardhi kwa miaka 99 kwenye huo mkataba wakati sheria za uwekezaji ndo zinasema hivyo hapa Tz..lakini yeye fastafasta tu kwa akatuambia tumepigwa..huyo ndo JPM.
Kwan sheria hazikosewi ? si ndo taratibu zetu hizo hizo zilizosema rais akifa kiti kinachukuliwa na makamo , aya leo mnaona kuongozwa na mtu asiyechaguliwa na raia kwenye nafas husik jinsi inavyotucost? Panyaroads wanarudi kwa kasi , wizi unashamili , ukabaji unarud kwa kasi na kibaya anaona anasafisha jiji halafu ana hatarisha usalama wa wanaoishi nje ya jiji , sasa piga mahesabu wanaoishi jijini ni asilimia ngapi ya wanaoishi nje ya jiji?
 
Unaonekana haujui kitu, Bandari ya Bagamoyo ni mradi ambao sio wa mkopo na unajengwa kwa kutumia joint venture (JV) kati ya kampuni ya Bandari ya China (China Harbors) na Kampuni itakayoundwa na Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA).

Mkopo anachukua China Harbors kutoka Saudi Arabia nasi tutatoa pesa kuchangia kwenye project kama sehemu ya share so hapo hakuna mkopo kutoka China pekee Bali nasi tutahitajika kukopa pesa ya kutumbukiza kama mchango wa capital ya project.

So muwe Makini kupitia hii miradi sio kuja kuropoka mitandaoni bila kujua ukweli ulivyo, hakuna mkopo hata shilingi moja kutoka China zaidi ya kwamba tunaweka shares zetu kwenye huo mradi. Huu sio mradi wa serikali ya TZ pekee, ni JV kila upande unatakiwa kutoa a certain amount ili kuwekeza kwa pamoja.

Just get your facts right.
Huwa tunajitoa akili hivihivi mwisho wa siku tunabaki kulaumu viongozi. Kama ni totally Joint Venture hawawezi kutupa masharti ya kipumbavu. Masharti hayo ndiyo yatakayosababisha kupokonywa hiyo bandari. Tusubiri!!
 
Huwa tunajitoa akili hivihivi mwisho wa siku tunabaki kulaumu viongozi. Kama ni totally Joint Venture hawawezi kutupa masharti ya kipumbavu. Masharti hayo ndiyo yatakayosababisha kupokonywa hiyo bandari. Tusubiri!!
Nadhani una elimu ndogo sana kuhusu JV, sasa unataka mwekezaji asije na proposals? Hizo no proposal ndio mnakaa mezani kuzijadili, it's obvious kila upande huwa unajivutia kwake maana mtagawana faida kulingana na terms mlizoweka.

It's normal, ishu ni kukubali au kukataa baada ya majadiliano. Tatizo mmemsikiliza Magufuli mno.
 
Back
Top Bottom