Uchaguzi 2020 Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam: Yaliyojiri mkutano wa kampeni wa Dkt. John Pombe Magufuli

Baba sisi wengine ni Wakullma tumekopwa korosho zetu mpaka Leo hatujalipwa tuchape Kazi gani?
Wengine ni Wasomi walikua wanafanya Kazi kwenye makampuni Sasa hivi yamefiliisika atachapa kazi gani
Wafanyakazi hakuna ongezeko la mishahara
Ninyi wengine mpo kwenye systems
Waswahili wanasema mwenye shibe hamjui mwenye njaa
Watanzania sio wavivu wala watu wa kulalamika miaka yote tulikua Tunaishi vizuri mpaka huyu alivyo chukua nchi
Kwa Sasa tupo kama burundi
Kweli tulikua tunawashangaa warundi
Sasa hivi Tanzania mbaya Sana kodi ni nyingi kuliko kipato
Mama mja mzito kodi
Maiti haupewi mpaka ulipe kodi yaani we acha tu
Ndio maana hata nchi jirani haziji kununua mazao kwa sababu ya kodi
Narudia Tena watanzania sio wavivu ila Kazi hakuna makampuni yamehama
Viwanda vimefungwa kwa sababu kodi kodi kodi ya kuumiza wafanya biashara
Aliyekukopa korosho ni nani? Maana ninavyofahamu sehemu sahihi ya kuuza ni kupitia vyama vya ushirika.
Tunasoma ili tuwe na uwezo wa kujiongeza, kufilisika kwa kampuni sio sababu ya kumfanya mtu ashindwe kuchapa kazi, narudia tena ukiona mtu analalamika sana kipindi hiki cha Magufuli ujue alikuwa anaishi kwa ujanja ujanja kipindi cha nyuma na kipindi hiki sio cha ujanja ujanja tena.
Mazoea yana tabu, ulizoea kuishi bila kufanya kazi na unakula vizuri kutokana na uwepo wa soko jeusi (black market) ambapo kulikuwa na fedha haramu nyingi mitaani, sasa hayo mazoea hayapo tena kila mtu anakula kutokana na jitihada zake.
Mama mjamzito kodi huu ni uongo
Maiti kodi huu ni uongo. Hivi mgonjwa anaumwa na anaendelea kutibiwa huku analipa taratibu, ikitokea akapona atalipa deni lake, ila akifa mnataka asilipe deni umeona wapi hayo mambo? Inabidi alipie deni lake alilopatiwa matibabu wakati wa uhai wake, ili fedha ikatumike kumlipa daktari ili aweze kutibia wagonjwa wengine.
Na mimi nakazia tena ukiona mtu, kampuni, kiwanda au nchi inapata shida kujiendesha, kufanya biashara au kununua bidhaa hapa Tanzania sasa hivi, ujue kampuni hiyo ilikuwa inateleza kiujanja ujanja hapa Tanzania. Tanzania hakuna ujanja ujanja tena, ujanja ujanja sasa basi.
Chagua CCM, Chagua Magufuli.
 
Walikuja wanajeshi kuchukua korosho
Baba wengine wamesoma kwa mazingira magumu ya kuunga Unga Leo unatarajia afungue biashara kubwa kariakoo
Hii nchi sio mpya watu tulikuwepo na hakuna aliekua anashida
Anyway hauwezi kuelewa maana wewe upo kwenye neema
Wewe ni kama mwana Mfalme anaeshangaa watu wanalakamikia kupanda bei ya mkate halafu anawashauri kwa nini wasinunue keki
Labda sote tupo Tanzania moja lakini wengine mpo pazuri
Hivi mtu kama hamfrey polepole ukiwaambia mtaani mambo magumu au dar kuna joto atakuelewa?
Ninyi mnayo level yenu
 
Acha porojo, mara umekopwa, mara wamekuja wanajeshi mbona hueleweki yaani
Kwani biashara ni lazima iwe kubwa na iwe kariakoo, hii ni fikra potofu kabisa.
Mimi nina elimu ya cheti na sasa hivi nafanya zangu biashara ya kuuza mbogamboga, napata kipato changu cha halali na maisha yangu yanaenda vizuri na mke wangu
 
Walikuja wanajeshi Ndio walikua wasimamizi maana hawakutaka korosho inunuliwe na wafanyabiashara
Wewe unauza mbogamboga kwa mtaji wa vyeti??
Ninyi mmewezeshwa na mmefanikiwa kwa hio wengine ambao hawana vyanzo ni wajinga na wavivu
Anyway kama unavyosema maisha yako ni mazuri kwa hio wengine ni wajinga
 
Utake usitake waislamu nchi hii Ndio masikini na Ndio wajinga darasa la saba
Angalia maeneo kama kigogo. Mtoni. Mbagala n, k
Utaona ni jamii ya watu masikini na ni wajinga wa darasa la saba na wote ni wakereketwa wa CCM
Maeneo kama mikocheni msasani, masaki, n k
Utaona ni jamii ya watu Wasomi na wenye uchumi wengi wao ni wakiristo na utaona hawana muda na CCM
Fanya utafiti mpaka mikoa ya waislamu utaona kumejaa ujinga na umasikini wa kutisha mpaka Leo watoto wanasoma chini ya miti
Mkuu mimi sijashawishika na uchambuzi wako. Ungekuwa ni utafiti ningesema umetumia vigezo visivyokupa uhalisia. Maeneo uloyataja na umaskini uliopo haujengi hoja ya kukubalika kwa Madai ya Waislamu na umaskini. Naelewa maeneo hayo wanaishi pia waumimi wa dini nyingine. Aidha maeneo uloyaainisha na utajiri wao pia hayakaliwi na waumimi wa Kikristo pekee. Ni mchanganyiko wa aina yake. Hapa simaanishi kwamba hakuna maskini katika jamii ya Waislamu ila mimi sikubaliani na generalization. Umaskini utabaki kuwepo katika jamii iwe kwa Waislamu au waumini wa dini nyingine.
 
Siwezi kukulazimisha uelewa lakini ukiangalia jiji la dar peke yake sehemu zenye asilimia kubwa ya waislamu ni umaskini na ujinga umetawala na sehemu za wakiristo hali ya maisha ni Bora kwa umbali mkubwa
Hakuna sehemu wanaishi waislamu watupu au wakiristo watupu ila kuna sehemu waislamu ni90% na hapo kuna umaskini wa kutisha
 
Kuna mengi. Azungumzie watu waliotekwa na kuuliwa, korosho walizo wadhulum wakulima, ajira toka ameingia hakuna, ongezeko la mishahara nk nk Hizo takwimu amezirudia sana kila mahali hata pasipo kuwa na umuhimu wa kuzitaja
yan hata kama una ufipa au kupinga pinga.mim sina chama ila tuulizane tu ukwel kwa kweli.
Unataka aseme takwimu mpya kivip?
maaana kama kajenga vitu mfano hospital za rufaa kila mkoa unataka aseme tofaut kila anapoenda?? apunguze idadi au awe anaongeza uje mbio mbio kusema cooked data???
hiv toka mwez wa kati kati na mwanzon mwa hii October lisu kasema sera ipi zaidi ya kutengeneza Drama za kishamba.
hebu nitag hata clip inayozungumzia sera na ilan ya chama chako
 
Siwezi kukulazimisha uelewa lakini ukiangalia jiji la dar peke yake sehemu zenye asilimia kubwa ya waislamu ni umaskini na ujinga umetawala na sehemu za wakiristo hali ya maisha ni Bora kwa umbali mkubwa
Hakuna sehemu wanaishi waislamu watupu au wakiristo watupu ila kuna sehemu waislamu ni90% na hapo kuna umaskini wa kutisha
Huenda tunazungumza lugha moja ktk muonekano tofaufi. Umetaja Dar na umaskini na utajiri. Nimekaa Mkoani Njombe katika Wilaya ya Wanging'ombe, kijiji cha Igima. Wakaazi wake zaidi asilimia 98 sio Waislamu na umasikini upo. Sasa suala la kukosa elimu kwa Waislamu limeletwa na mfumo wa dola ambao asili yake kuna mchango wa Waislamu. Tuendelee hivihivi kupiga kelele majukwaani halafu tuone kutakuwa na mabadiliko bila kuchukua hatua zinazostahiki?
 
Walikuja wanajeshi Ndio walikua wasimamizi maana hawakutaka korosho inunuliwe na wafanyabiashara
Wewe unauza mbogamboga kwa mtaji wa vyeti??
Ninyi mmewezeshwa na mmefanikiwa kwa hio wengine ambao hawana vyanzo ni wajinga na wavivu
Anyway kama unavyosema maisha yako ni mazuri kwa hio wengine ni wajinga
Wewe endelea kufanya maigizo hapa kama kiranja wenu Mke wa Amsterdam
 
Amekudanganya nini? Ametamani nini kutoka kwako? Vipi alikuua nini ukafufuka? Alikukatili na nini? Alikuvunjia uminifu gani? Amekuonea kwenye nini? Amekuibia nini? Hebu tuambie hapa na utoe ushahidi na uthibitisho, usipige porojo

Ni kwa sababu wewe utakuwa ni mmoja wa hao wauwaji , hujali hamna wa kwako. Mimi mdogo wangu yuko jela hivi sasa kwa kesi ya kubambikizwa ya ugaidi. Sababu alikwenda kuposa mke kwa mtu ambaye baba yake amewekwa ndani kwa kubambikiziwa kesi ya ugaidi na yeye akaunganishwa
 
Una chuki binafsi
 
Una chuki binafsi
Sheikh unasema chuki binafsi kwa sababu hayajakukuta
Kwa miaka mitano hii waislamu wa Tanzania waliokamatwa kwa tuhuma za ugaidi ni wengi hata kuliko kule Afghanistan na Iraq
Hizi Habari Huwezi kupata kwenye TBC
Sasa mateso wanayo Pata mungu atunusuru wengi wameminywa korodani mpaka hawataweza kukutana na wake zao Tena
Kuna watu wamepata nafasi ya kuwaona ndugu zao wamewakuta wengine ni machizi
Mambo kama haya yalikua hakuna Tanzania na wengi hawawezi kujua maana TBC hauwezi kutangaza...

Dhulma Ina mwisho
Magufuli sio kiongozi DHALIM wa kwanza au wa mwisho walikuwepo na watakuwepo
Na hao ndugu zetu Inn shaa Allah watapata haki aidha kwa kua huru au mauti yatawakuta huko huko
 
Ndio maana nimesema ni chuki binafsi uliyonayo na pengine ni chuki ambayo umepandikiziwa, unaongea kwa mhemko huna data yeyote.
Ina maana wewe ndo Muislamu safi peke yako Tanzania nzima?
Na unataka uuthibitishie umma kuwa

Na unataka uuthibitishie umma kuwa muislamu hatakiwi kushtakiwa hata kama amefanya makosa, acha ufinyu wa fikra aisee. Hakuna aliyepo juu ya sheria kila mtu atawajibika kutokana na kile alichokifanya.
Waambie na wenzako huko mlipo acheni siasa za udini, ni dhambi mbaya kuliko hata mnavyofikiria. Siasa za udini hazifai
 
Sijakwambia waislamu wapo juu ya sheria au Sijakwambia mimi peke yangu Ndio muislamu bora ila nakuambia kuna ndugu zetu wapo jela wanateswa bila kupelekwa mahakamani
Na wala sisi hatujasema waachiwe ila tunaomba serikali iwapeleke mahakamani na kama kweli Wana makosa basi wahukumiwe na kama hawana makosa basi waachiwe
Kwa kweli kwa muda wa miaka mitano serikali imejitahidi kucheza na akili pamoja na maono ya watu kwa kutumia vyombo vya Habari na vyombo vya dola
Kuna watu hata wakiona mbu kwa sababu TBC imesema sio mbu ni mbuzi mtu anaamini
Sasa ushahidi gani unataka?
Kama upo dar hebu siku za weekend nenda segerea. Keko au Ukonga omba kuonana na masheikh wa kiislamu
Ukiruhusiwa Ndio utajua lakini sidhani kama utafanya hivyo maana huna muda nao na wala hayo mambo haya kuhusu
Sisi ni waislamu ambao ni wahanga wa dhulma tunazofanyiwa na huyu kiongozi Dhalim
Wala yeye sio wa kwanza kutesa Ummah wa kiislamu namna hii hata kule Uganda kulikua kuna mtu anaitwa Obote alikua kama Magufuli Sasa yukwapi?
Je uislam umeisha kule Uganda?
Baada ya muda pia mimi wewe na Magufuli hatutakuwepo lakini uislam utakuwepo
Na hao ndugu zetu wanaoteswa kwa sababu tu ya Imani Yao ipo siku mateso yataisha either kwa kupatwa na mauti wakiwa jela au watakua huru
Inn shaa Allah
Allah Akbar
 
Back
Top Bottom