Uchaguzi 2020 Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam: Yaliyojiri mkutano wa kampeni wa Dkt. John Pombe Magufuli

Vipi lile lenye vyuma mpaka kero?
Most of the people from mtwara ni waislamu wenzangu ambao wengi wetu ni darasa la saba na masikini sana
Yaani korosho tumekopwa kwa bei chini bado hatujalipwa lakini wapo ambao wanaunga mkono dhulma hii
Dua
Ewe Allah tunakuomba utuepushe na ufaqiri na ujinga
Ameen
 
Wewe Simba zee unaonekana ni mdini sana. Kila ukichangia unaleta mambo ya udini. Kule mahali watanzania wamekudharau kwa hoja yako ya udini , sasa umekimbilia hapa. Hivi huwezi kujenga hoja zako bila kutaja dini za watu, tena kwenye hisia zisizo fanyiwa utafiti wa kisayansi. Acha mara moja udini wako. Wewe ni simba zee, acha kutaka watu wajadili fikri zako za kizee za udini. Hacha mara moja.

Ukweli mchungu
 
Kua mdini ni kitu kimoja na kuzungumzaia uelewa wa wenye dini ni kitu Kingine
Kukataa kwamba eti Tanzania hatuna dini ni kujificha kwenye kimvuli chako
Na kupinga kwamba Muslims majority lands Ndio kuna umaskini wa kutisha mpaka Leo watoto wanasoma chini ya miti ni kujificha kwenye kimvuli chako
Na kupinga kwamba most of Muslims are STD 7 you try to hide from your own shadow
Kupinga kwaba zaidi ya waislamu kutokana na ujinga wetu na umaskini wetu zaidi ya 80% tutapigia kura CCM
Kilimanjaro. Mbeya. Kagera. Musoma. Manyara etc are most Christian lands
Most of them are well educated and wealthy community
So they will vote against CCM
Kama ungekuambunifu angalia hata wanaosapoti CCM katika mitandao ya kijamii wengi wao ni Akina
Ali
Abdala
Mustafa
Hasan
etc
Ni ukweli uliomgumu kuumeza
 
Ni ukweli uliomgumu kuumeaseless. Haina hata hadhi ya kujadiliwa na great thinkers. Tafadhali yapeleke facebook au badoo
Baseless arguments. No research, no right to provide data. Unayoyasema hayana hadhi ya kujadiliwa kwenye forum hii ya great thinkers. Nakushauri achana na hizi unfounded and unwarranted arguments. Labda kazijadili na watu wa facebook au badoo
 
Kuna watu hapa wanakubaliana na mimi na baada ya uchaguzi utaona
Muslims majority lands CCM
NON Muslims majority lands opposition
Why????
The answer is
Most of Muslims are darasa la saba and are coming from poverty communities
 
Kabla ya kukoment uwe muelewa naendelea na harakat zangu kitaa ila circulation ya hela ni hovyo kabisa afu muache kujifanya mnajua kufundisha watu kazi kama vp kalanga uza mwenyew
Sasa unaposa upo kitaa tu maana yake nini? Sisi tutaelewa upo kama golikipa tu. Unaposema circulation ya hela hovyo unasikitisha, yani useme circulation iwe hovyo halafu uendelee ku survive kindezi tu. Chapa kazi, nasema tena Chapa kazi.
 
Uelewa wako mdogo kama ni hvy,afu haya maneno mnayopandikizwa na magu wenu ipo ck mtachapwa viboko aisee
 
Sasa unaposa upo kitaa tu maana yake nini? Sisi tutaelewa upo kama golikipa tu. Unaposema circulation ya hela hovyo unasikitisha, yani useme circulation iwe hovyo halafu uendelee ku survive kindezi tu. Chapa kazi, nasema tena Chapa kazi.
Baba sisi wengine ni Wakullma tumekopwa korosho zetu mpaka Leo hatujalipwa tuchape Kazi gani?
Wengine ni Wasomi walikua wanafanya Kazi kwenye makampuni Sasa hivi yamefiliisika atachapa kazi gani
Wafanyakazi hakuna ongezeko la mishahara
Ninyi wengine mpo kwenye systems
Waswahili wanasema mwenye shibe hamjui mwenye njaa
Watanzania sio wavivu wala watu wa kulalamika miaka yote tulikua Tunaishi vizuri mpaka huyu alivyo chukua nchi
Kwa Sasa tupo kama burundi
Kweli tulikua tunawashangaa warundi
Sasa hivi Tanzania mbaya Sana kodi ni nyingi kuliko kipato
Mama mja mzito kodi
Maiti haupewi mpaka ulipe kodi yaani we acha tu
Ndio maana hata nchi jirani haziji kununua mazao kwa sababu ya kodi
Narudia Tena watanzania sio wavivu ila Kazi hakuna makampuni yamehama
Viwanda vimefungwa kwa sababu kodi kodi kodi ya kuumiza wafanya biashara
 
Huyo mkwere katurudisha nyuma sana.Nchi ilikuwa inaibiwa na hajui
Wakati wa mkwere kulikua hakuna mauaji yanayo fanywa na watu wasiojulijana
Mkwere hajamteua mtoto wa dada yake kushika hazina ya nchi
Wakati wa Jakaya mkaguzi mkuu wa mahesabu hakusema zaidi ya trillion 2.4 zimepotelea ikulu
Hivi majuzi aliulizwa hio hela imepoteaje ambayo ni zaidi ya dola billion moja za kimarekani? Hakuna Jibu
Mkwere hakujenga kiwanja cha ndege cha kimataifa kijijini kwao kwenye samba la babake
Mkwere hajawahi kummpa mume mwenza kandarasi za ujenzi bila zabuni
Yote haya kwa sababu wakati wa kikwete vyombo vya Habari vilikua huru lakini jiwe kavibana Sana
Kikwete hajajimilikisha ardhi ya wananchi zaidi ya hekta 25000
Pombe ni Rais bora kwa mujibu wa TBC
Lakini vyombo vya Habari vingekua huru ungesikia kwamba
Wahisani wa ndani na nje ya nchi wamewachangia wahanga wa tetemeko la ardhi zaidi ya sh billion 200 lakini hazikufika hata kwa mlengwa mmoja na hizo pesa hatujui zikwapi
 
Sio wote but most of we are darasa la saba
Pia most of us we come from poor communities
That's why mwana harakati mkubwa wa kiislamu sheik issa ponda Mara baada ya kutoa waraka wa waislamu na kubainisha dhulma ya serikali ya magufulu.

From no where Sasa anaendelea BMW mpya. Na kwa Sasa waliopo jela wametelekezwa hata michango kwa ajili ya kukimu nahitaji ya Familia imepigwa STOP 🛑 na kwa Sasa wanaharakati wamekua wanaharakati wa JPM. Hio Ndio tafsiri ya umaskini na ujinga
Katika dua kubwa moja wapo.

Rasulullah (SAW) ALIOTUFUNDISHA ni
Ya Allah nakuomba unikinge na ufakiri na ujinga
HADITHI ingine Ufakiri ni nusu ya ukafikiri
Mfano wa Ponda hauakisi tabia ya Waislamu na zaidi unaweza kuakisi undumila kuwili au tamaa. Au zaidi ile isemwayo funika kombe mwanaharamu apite. Ama suala la Waislamu kuwa maskini haihalalishi kuwa
Wajinga. Nauangalia ujinga kwa maana mbili. Mosi ni kutojua Kuusoma na kuandika. Hii haiakisi umaskini. Ni hali inayojitokeza katika jamii ikikolezwa na mambo mengi. Pili ni kutokufahamu jambo au hali Fulani. Hii inaweza kutokea kwa kila mtu kulingana na mazingira husika bila kujali muhusika ni muumini wa dini au wa hali gani. Kwa ufupi yanayoendelea hayajengi hoja, kwa ajuaye, kwamba jamii Fulani ni maskini au wahusika wake ni wajinga.
 
Utake usitake waislamu nchi hii Ndio masikini na Ndio wajinga darasa la saba
Angalia maeneo kama kigogo. Mtoni. Mbagala n, k
Utaona ni jamii ya watu masikini na ni wajinga wa darasa la saba na wote ni wakereketwa wa CCM
Maeneo kama mikocheni msasani, masaki, n k
Utaona ni jamii ya watu Wasomi na wenye uchumi wengi wao ni wakiristo na utaona hawana muda na CCM
Fanya utafiti mpaka mikoa ya waislamu utaona kumejaa ujinga na umasikini wa kutisha mpaka Leo watoto wanasoma chini ya miti
 
Katumia udini. Hivi NEC imemuachaje mpaka sasa? Yaani anajisema yeye ni muislamu???? Huyu kijana kajiharibia sana, maana huwezi tumia dini kujinadi na ndiyo maana hiki kikundi ni cha magaidi na wauaji.
Yaani ukiwa muislamu maana yake wewe ni gaidi na muuaji?
Nani kajinanadi yeye ni gaidi?
 
Anarudia takwimu zile zile kila siku zina chosha masikio.
yan hata kama una ufipa au kupinga pinga.mim sina chama ila tuulizane tu ukwel kwa kweli.
Unataka aseme takwimu mpya kivip?
maaana kama kajenga vitu mfano hospital za rufaa kila mkoa unataka aseme tofaut kila anapoenda?? apunguze idadi au awe anaongeza uje mbio mbio kusema cooked data???
hiv toka mwez wa kati kati na mwanzon mwa hii October lisu kasema sera ipi zaidi ya kutengeneza Drama za kishamba.
hebu nitag hata clip inayozungumzia sera na ilan ya chama chako
 
Back
Top Bottom