Uwanja mkubwa wa 100m x 100m unauzwa maeneo ya kurasini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uwanja mkubwa wa 100m x 100m unauzwa maeneo ya kurasini

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Akiri, Jun 6, 2012.

 1. A

  Akiri JF-Expert Member

  #1
  Jun 6, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,447
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Uwanja ni mkubwa na umepimwa, upo karibu kabisa na bandari upo katika eneo la Tom Estate hapa kurasini. nyaraka zote muhimu zipo na anayehitaji kuziona au kuona eneo anaweza kunipigia, au tuma msg. 0755 099 291, 0686 200 117,
  0657 14 5555.E - mail info@havilla.net, thomasnelson564@yahoo.com ( havilla Real Estate Agent) karibuni wote mlio na nia ya kununua au kufanya ubia. bei ni 700M.
   
 2. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #2
  Jun 6, 2012
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,920
  Likes Received: 2,069
  Trophy Points: 280
  Billioni ngapi?
   
 3. Zamaulid

  Zamaulid JF-Expert Member

  #3
  Jun 6, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 16,348
  Likes Received: 6,698
  Trophy Points: 280
  milioni siyo bilioni
   
 4. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #4
  Jun 6, 2012
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,920
  Likes Received: 2,069
  Trophy Points: 280
  Angalau hii ipo reasobale ukilinganisha na ukubwa wa eneo. Thanks man!
   
 5. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #5
  Jun 6, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,806
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  milion 700 ndogo?? kweli bongo kila mtu fisadi....:painkiller:
   
 6. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #6
  Jun 6, 2012
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,920
  Likes Received: 2,069
  Trophy Points: 280
  Jamani Jestina , si nimesema 'reasonable' tu? Sina maana nina hiyo pesa mfukoni mwangu au naiona ndogo. Mita 100 kwa 100 ni sq meter elfu kumi (10,000). Kwa bei aliyotaja, ina maana kila sq m moja anauza sh elfu 70. Jaribu kutafuta thread nyingine za watu wanauza viwanja humu ndani (JF) unaweza kuona ni kwa nini ninasema hii ipo reasonable.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. Loly

  Loly JF-Expert Member

  #7
  Jun 7, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 485
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 45
  kweli hata mimi nimeona ni very cheap 700m? Kulinganisha ukubwa na eneo kiwanja kilipo, humu ndani tumezoea kusikia
  kiwanja kipo kimara heka1 bei billion1 khaaa hadi inaboa
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #8
  Jun 7, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Ukilinganisha na eneo lenyewe ni ndogo hiyo pesa, ni sawa na wewe leo uambiwe kampuni ya Microsoft inauzwa kwa shillingi bilioni 100 si lazina usituke sana maana ni kapesa kadogo saaana.
   
Loading...