Sababu kubwa Marekani kutokuwa na Wawakilishi wengi wakike bungeni ni ubaguzi uliopo Marekani. Marekani especially Right Wing Conservative hawaamini kwamba mwanamke apewe haki kama mwanamme. Civil Right movement ilikuwa inataka maslahi ya Wanawake, na haki za minority kupewa kipaumbele. Sheria maalum ilipitishwa Affirmative action kutetea maslahi ya minority nchini US, wanawake wakiwemo.
Kiujumla, Marekani bado ipo nyuma sana ktk kutetea haki za Wanawake, minority, nk. Ndiyo maana mpaka leo US haijwahi kuwa na Rais mwanamke.
Sijui hiri rinchi rimerogwa.....
Mazee, all in all, iwe US au TZ, the wabunges ARE USELESS. Yes nasema kwa kinywa kipana na kurudiarudia, hawa watu ni useless. Kinachoisadia nchi kama Merekani ni uharamia wao wa kuchukua resources za nchi nyingine kwa hila, kulinda masoko yao na mbinu nyingine chafu za kibiashara plus vile walivowekeza heavily kwene sayansi na teknolojia. Maendeleo yao katu sio kazi za mikono ya wanasiasa.