uwakala wa tigo pesa

mwalemi

Member
Feb 25, 2013
45
1
ninayo laini ya uwakala wa tigo pesa kwa aliye tayari. price 800,0000 phone no 0759007560
 
Acha usenge hiyo namba ni ya Vodacom halafu unasema mambo ya tigo pesa

Hivi nikisema :iamwithstupid: nitakua nimekosea? au unawaomba mamoderator :banplease: wakupige :ban:?? Mkuu matusi hayatakiwi hapa. nenda MMU forum,.
 
siamin mimi kuweka tangazo la biashara nauza line ya uwakala wa tigo pesa naambiwa ------ kweli sijui umewaza nini ila kwa kuwa sikufahamu nimekusamehe maana siijui tabia yako. hiyo namba ni ya simu yangu ya mkononi kuwa mpole usipende kutukana toa comment kama una mteja ni vizuri zaidi.
 
nipo magomeni mapipa bei ni hiyo maana ningepunguza ila kwa matusi yaliyopita itabidi nikomae nipate kifuta machozi
 
Mkubwa kuna mteja yupo hana laki sita na nusu kama fresh ni pm mi niko magomeni pia mikumi hapa kituo cha daladala
 
Hiyo laki 8 na salio humo humo ama.?? Maana hizo line huwaga ni buuree
 
Back
Top Bottom