Uwakala mpesa tigo na airtel money

Natafuta kiki

JF-Expert Member
Dec 27, 2016
911
1,284
Wakuu husika na somo la hapo juu
Naomba mnijijuze kwa wale wazoefu ili niweze kuwa wakala wa hiyo mitandao nahitaji kuwa na:
1 mtaji kiasi gani
2 mashart ya kujiunga
3 faida kama inalipa
Na mengine yanayohusiana na biashara hii
Natanguliza shukrani za dhati kwa wote
 
Back
Top Bottom