Uwajibikaji wa Vyombo vya habari wa Tanzania Media Fund Mlimani City | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uwajibikaji wa Vyombo vya habari wa Tanzania Media Fund Mlimani City

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Halisi, Mar 28, 2011.

 1. Halisi

  Halisi JF-Expert Member

  #1
  Mar 28, 2011
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 2,810
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Richard Mgamba wa Sunday Guardian anasema, unapozungumzia media na uwajibikaji, unajiuliza tunawajibika kwa umma ama wamiliki?
   
 2. Halisi

  Halisi JF-Expert Member

  #2
  Mar 28, 2011
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 2,810
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Kwa kuwa mwandishi, nilijua naweza kutimiliwa anytime naweza kupata zawadi ama kupanda ngazi wakati wowote, kwanza nawajibika na sera ya gazeti na kila chombo kina policy.. Hatuko juu ya sheria, ukiona umekosea lazima uombe radhi na kuwajibika kwa wasomaji wako
   
 3. Halisi

  Halisi JF-Expert Member

  #3
  Mar 28, 2011
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 2,810
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Je, munawaheshimu wasomaji wenu? English paper ukikosea unarekebisha lakini magazeti ya Kiswahili yanarudia sana, anatoa mfano wa Tanzania Daima kwamba Magufuli amejiuzulu ama Sitta na Mwakyembe wameshughulikiwa na cabinet wakati hakukua na kikao siku hiyo
   
 4. Halisi

  Halisi JF-Expert Member

  #4
  Mar 28, 2011
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 2,810
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Simbeye anasema kuiwajibisha serikali lazima uwe na sababu, lazima kuwe na kitu cha kuiwajibisha serikali, lakn kama hakuna kitu unadhoofisha serikali bila sababu. Ktk media lazima kuwa objective.
   
 5. Halisi

  Halisi JF-Expert Member

  #5
  Mar 28, 2011
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 2,810
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Na sisi ni sehemu ya jamii, na si kweli kwamba na sisi tunafanya kila kitu sahihi na serikali tu ndio inakosea?
   
 6. Halisi

  Halisi JF-Expert Member

  #6
  Mar 28, 2011
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 2,810
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Ichikaeli Maro wa Daily News anasema lazima kama media house unakosea uombe radhi na kurekebisha... Lazima tuwape nafasi wanaotuhumiwa tuwasikilize na wao
   
 7. Halisi

  Halisi JF-Expert Member

  #7
  Mar 28, 2011
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 2,810
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Si habari zote ni mbaya kuhusu serikali,
   
 8. Halisi

  Halisi JF-Expert Member

  #8
  Mar 28, 2011
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 2,810
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Mwandishi mmoja anasema: ni mentality ya editors, hawako acountable kwa umma kama yule wa Daily News alikua anawajibika kwa watawala wakati wa uchaguzi na si kwa umma, tumeona Mkurugenzi wa TBC alikua anawajibika kwa umma na tumeona yaliyomkuta.... Anashangiliwa
   
 9. Maxence Melo

  Maxence Melo JF Founder Staff Member

  #9
  Mar 28, 2011
  Joined: Feb 10, 2006
  Messages: 2,606
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Naona Daily News wanapigwa mawe live!
   
 10. Halisi

  Halisi JF-Expert Member

  #10
  Mar 28, 2011
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 2,810
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Richard ni kweli kuna rushwa ktk media, lakini hiyo ni mzao wa jamii yetu ilyojengwa na watawala wetu
   
 11. Halisi

  Halisi JF-Expert Member

  #11
  Mar 28, 2011
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 2,810
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Pamoja na hayo, kuna kazi nzuri iliyofanywa na media, na ni media iliyoifanya serikali kuvunjwa na Bunge kuwa na meno
   
 12. Halisi

  Halisi JF-Expert Member

  #12
  Mar 28, 2011
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 2,810
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Kikao cha asubuhi cha postmortem kinatumika kupitia habari zilizotumika, na serikali nayo inafanya hivyo japo si kila mara kama media....
   
 13. Halisi

  Halisi JF-Expert Member

  #13
  Mar 28, 2011
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 2,810
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Katika kikao kunakua na malalamiko na pia mapitio
   
 14. Halisi

  Halisi JF-Expert Member

  #14
  Mar 28, 2011
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 2,810
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Mohamed Tiba anasema, kwa uzoefu wake ktk media, nimesoma magazeti, sijaelewa kama ni kuwajibishana ama ni vita kati yao na hii imenishtua maana tumeona media zinajenga uaduia miongoni mwao na ni tishio kwa uhuru wa habari na hatuoni vikifanya kazi pamoja
   
 15. Halisi

  Halisi JF-Expert Member

  #15
  Mar 28, 2011
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 2,810
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Editors Forum ni lazima iangalie uwajibikaji wa media kama taaluma sababu tungesahihishana kwa njia ya kistaarabu na kirafiki badala ya kufanya vita
   
 16. Halisi

  Halisi JF-Expert Member

  #16
  Mar 28, 2011
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 2,810
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Daladala producers: Siamini media japo niko ktk media, imebadilika na kuwa biashara. Ukikuta makala marefu mazuri na picha kuna bahasha imetembea
   
 17. Halisi

  Halisi JF-Expert Member

  #17
  Mar 28, 2011
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 2,810
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Nimetembea nchi nzima, ni vigumu kupata habari kibiashara, na baada ya kazi wakitoka wanasubiri bahasha baada ya kikao... Je, tunasema nje kulaumiana?
   
 18. Halisi

  Halisi JF-Expert Member

  #18
  Mar 28, 2011
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 2,810
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Kihaule wa EU, nianze ni kweli kuna tabia ya rushwa lkn si kweli kila makala inatolewa kwa fedha...
   
 19. Halisi

  Halisi JF-Expert Member

  #19
  Mar 28, 2011
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 2,810
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Wamiliki ni tatizo, hawawalipi vizuri waandishi na hapo wanalazimika kupata nauli na wApo wanaopenda waendelee kuteseka na njaa ili wapate nafasi ya kuwatumia
   
 20. Halisi

  Halisi JF-Expert Member

  #20
  Mar 28, 2011
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 2,810
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Imetokea katika kamoeni mwandishi akashuishwa kigoma kwa kutoandika vizuri mwanasiasa
   
Loading...