NG'OMBE JF-Expert Member Mar 26, 2011 362 80 Apr 25, 2012 #21 Wagome kupitisha Bajeti ya nchi na siyo za wizara ili bunge livunjwe tuende kwenye uchaguzi mkuu, wakaone hasira za wananchi zilivyo.
Wagome kupitisha Bajeti ya nchi na siyo za wizara ili bunge livunjwe tuende kwenye uchaguzi mkuu, wakaone hasira za wananchi zilivyo.