Uwajibikaji katika sekta ya Ujenzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uwajibikaji katika sekta ya Ujenzi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mugizi, Sep 25, 2008.

 1. Mugizi

  Mugizi Member

  #1
  Sep 25, 2008
  Joined: Aug 14, 2008
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Tumekua tukishuhudia majengo yakiporomoka DSM moja had jingine!

  Sasa wahusika wenyewe watakuwepo kutueleza hali halisi ya uwazi, uwajibikaji na uadilifu katika sekta ya ujenzi hapa TZ!

  Karibuni nyote British Council DSM - Kesho 26/9/2008 saa moja na nusu hadi saa tatu na nusu asubuhi!

  Breakfast will be provided. See attached flyer.
   

  Attached Files:

 2. O

  Ogah JF-Expert Member

  #2
  Sep 25, 2008
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 6,229
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Mugizi,

  tafadhali baada ya huo mkutano naomba utuwekee summary........
   
 3. F

  Fundi Mchundo JF-Expert Member

  #3
  Sep 25, 2008
  Joined: Nov 9, 2007
  Messages: 4,706
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 145
  Presentation mbili za robo saa kila moja halafu majadiliano ya saa moja! Hamna kitu hapa. Ni kujichana na hiyo breakfast tuu.

  We are not serious.
   
 4. Mugizi

  Mugizi Member

  #4
  Sep 30, 2008
  Joined: Aug 14, 2008
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Nashukuru kwa maoni yenu. Hata yale yanayosema kwamba 'hatuko serious' . Ndiyo maana naipenda JF kwa kuwa 'Freedom of opinion reigns supreme!'

  huwa tunaandaa midahalo kuhusu maswala mbali mbali ya kisera kila ijumaa ya mwisho wa mwezi muda huo huo pale British Council. Karibuni sana.

  Ndugu Ogah presentations zilizowasilishwa nimeziambatisha hapo chini. Summary ya discussion itakuja baadaye. Mwezi huu watoa mada hawakutoa paper lakini kawaida huwa paper inatolewa pia yenye 'substance' zaidi kwa wale wasomi kati yetu kama FM:).
   

  Attached Files:

Loading...