Uwajibikaji: CHADEMA ni kama CCM tu!

Plato

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
420
94
Najua baadhi ya wanachadema na mashabiki wao wataangalia hoja hii kwa ushabiki. Lakini naweka mizania kuwa chadema hapa tulipo imekuwa ya hovyo kama ccm ilivyo ya hovyo.

Moja,alipopigwa mawe JK kule mbeya, CCM walikanusha na kujenga uwongo wa kitoto kuwa hakupigwa. Juzi Slaa naye kapigwa mawe kigoma, na CHADEMA wametunga uwongo uleule na kukanusha. Mkutano uliokuwa na watu kama 20 ukaitwa umati wa watu.

Haya, ufisadi wa kashfa za ngono kwa viongozi wakuu wa vyama hivi naona wanachuana. chadema wanajitapa kuchukua maamuzi magumu? Hebu wawavue uanachama na kwa hiyo ubunge akina Zitto, Arfi na Shibuda. Waambieni wathubutu! Hawawezi.

Haya, juu ya watendaji wa hovyo kwenye chama - ni wazi sekretariati ya CHADEMA imejaa watendaji wasio na sifa yoyote lakini hawana jinsi ila kuenda nao hivyohivyo tu.

CHADEMA wizi na forgery zimejaa kibao, na kwa kweli mimi nadhani wakishika nchi watakuwa wa hovyo kuliko hata CCM. Si mmeona sakata la posho za safari juzi? Si mnaona wabunge wa CHADEMA wasivyohudhuria bungeni siku hizi? Si mmeona hoja ya posho za wabunge kumbe ilikuwa inawakera?

Jamani miye
 
tunaweza kukulaumu wewe kumbe siyo akili yako kazi ya viroba pole sana hizi buku saba zitawaliza
 
Chadema ni busha na ccm ni ngiri yaani yote ni magonjwa ya pumb.u hakuna uafadhari. Na kinachomuunganisha tundu lissu na lusinde ni posho. Joshua nassary na zambi wote wamekula posho na safari hawajaenda.
 
Mkuu unafanya Makosa sana kuilinganisha CCM na hiki kikundi cha Wahuni kiitwacho CHADEMA.
 
tunaweza kukulaumu wewe kumbe siyo akili yako kazi ya viroba pole sana hizi buku saba zitawaliza
mbona amewaponda hadi ccm? au wewe unaamini hadi leo kuwa cdm ni malaika na hawakosei. acha umsukule dogo!
 
tunaweza kukulaumu wewe kumbe siyo akili yako kazi ya viroba pole sana hizi buku saba zitawaliza

Cdm ni ovyo kabisa na hizi ndio hoja za wanachama na wafuasi wake... Badala ya kujibu kwa hoja unajibaraguza hapa afu katibu wenu ndiye awe rais wa nchi!
 
LB7 yuko kazini,hongera kwa kuongezewa dau mkuu.Ccm ni chama cha mizigo,chama chakavu na chama cha wezi,chama cha watesi nk
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom