Uvutaji wa sigara.

Ni aina ya toxic inayowekwa kwenye sigara ili kumpa hamu mvutaji,ndio maana ukivuta sigara unakua addicted na sigara.
Wanashindwa kuacha kweli ...yaan mtu anaweza kuacha pombe lkn sio sigara!...nashangaa sana coz niliamini pombe ndo ina addiction mbaya!

La mwisho hivi sigara inalewesha?
 
Naomba kuuliza, hivi kwa mtu anaevuta sigara akiwa karibu na wewe ule moshi wa sigara unaweza kukuathiri wewe mtu wa pembeni yake?
Kwani hawa wavutaji wa sigara huwa hawana staha hata mbele za aatu wanavuta masigara yao.
Nani kakwambia sigara ina athari?
 
Wanashindwa kuacha kweli ...yaan mtu anaweza kuacha pombe lkn sio sigara!...nashangaa sana coz niliamini pombe ndo ina addiction mbaya!

La mwisho hivi sigara inalewesha?
Kwa kawaida sigara haileweshi But inategemea na mtu na muda aliyovuta,mfano uvute sigara asubuhi kabla hujala kitu lazima utahizi kizunguzungu ila ni kwa muda mfupi sana.
 
Mkuu mi huyu jamaa nimemshuhudia kwa macho yangu na si mara moja or Mara mbili .....sasa sijui unabisha nini? Kama wewe hujawahi ona mi nimeshuhudia sasa!
Mpaka muda huu nishapiga kama pakti tano Hvi na ndio kwanza kumekucha maombi yenu yanahitajika
 
Maurizio Sarri kocha wa Chelsea napiga zaidi ya hizo kwa siku mkuu. Kuna mzee mmoja jirani yangu (r.i.p) alikua anavuta hata packs kumi kwa siku. Yeye mda wote kawasha fegi
Dah...muongo sana wewe...paketi 10 za ni sawa na sigara 200...sigara moja huchukua takribani dakika 15.... Kwa sigara 200 huchukua dakika 3000 kuvutwa...ni sawa na masaa 50...wakati siku moja Ina masaa 24 tu....
 
Dakika 15 ni sigara aina gani hiyo mkuu? Alafu mvutaji wa sigara kapuku sio sawa na mvutaji wa hivyo. Havuti mpaka kwenye kichungi boss ikifika kati kwa juu kidogo anatupa.

Hebu google "chain smoking"
 
Dakika 15 ni sigara aina gani hiyo mkuu? Alafu mvutaji wa sigara kapuku sio sawa na mvutaji wa hivyo. Havuti mpaka kwenye kichungi boss ikifika kati kwa juu kidogo anatupa.

Hebu google "chain smoking"
Sasa kama sigara ikifika kati anaitupa ina maana anavuta sigara nusu!
So,hapo ni sawa na kusema anavuta paketi 5 na sio 10
 
Dakika 15 ni sigara aina gani hiyo mkuu? Alafu mvutaji wa sigara kapuku sio sawa na mvutaji wa hivyo. Havuti mpaka kwenye kichungi boss ikifika kati kwa juu kidogo anatupa.

Hebu google "chain smoking"
Dah....hata Kama...basi atatumia dakika 6 minimum ( kwa mujibu wa Google)...bado inakuwa zaidi ya saa 24 kwa siku
 
T
Mtu aliye karibu na mvuta sigara hupata madhara zaidi kwa kuwa huwa anavuta moshi wa sigara ambao haujapita kwenye filter.

Kumbuka mvutaji hutumia sigara zenye tar na nicotine ambazo huwa zinampa mvutaji hamu isiyoisha ya kutaka sigara.Kwa kuwa mvutaji hutumia kings (filter) sigara huendelea kutoa moshi ambao mtu aliye karibu na mvutaji huvuta na madhara yake ni makubwa kuliko kwa mvutaji.

Ukiweza mshawishi mtu aache kuvuta sigara kabisa kwani ni sumu mbaya.
Tatizo mkuu sigara ukimshauri lakini kuacha ngumu hususani vijana
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom