Uvutaji wa sigara.

Sasa kama umeishi na anaevuta pakiti 4 inawezekana vipi kunikatalia kuwa mimi sijaishi na anaevuta pakiti kumi?

Mbona wabongo wabishi sana? Nikikwambia kuna mtu anakunywa bia crate mbili utanibishia kwasababu mlevi unaemjua wewe akinywa bia 5 basi kalewa chakari?
Maurizio Sari unaishi nae? Ndiye uliyemtolea mfano! Hivi ukiwa humu na ukaandika kiswahili tayari unakua ni mbongo? Hakuna aliyekubishia soma tena comment yangu uielewe.
 
Mtu mwingine aseme walau pakti 3 tu kwa siku.

Sigara 120 anazivutaje kwa masaa 16?
Mkuu mi huyu jamaa nimemshuhudia kwa macho yangu na si mara moja or Mara mbili .....sasa sijui unabisha nini? Kama wewe hujawahi ona mi nimeshuhudia sasa!
 
Sasa kama umeishi na anaevuta pakiti 4 inawezekana vipi kunikatalia kuwa mimi sijaishi na anaevuta pakiti kumi?

Mbona wabongo wabishi sana? Nikikwambia kuna mtu anakunywa bia crate mbili utanibishia kwasababu mlevi unaemjua wewe akinywa bia 5 basi kalewa chakari?
Bonge la point!.... Kama we hujashuhudia kitu usigeneralize kuwa haiwezekani!

Tunaishi mazingira tofauti, na watu tofauti!
 
Castro alikuwa anapiga cigars sio sigara,Tena za Bei ya juu,halafu cigars hauvuti moshi ndani unaishia mdomono,sema haya mambo hayana formula Bibi kidude alikuwa anapiga Sana fegi na ganja ila kafariki akiwa kikongwe
Ila maisha hayana formula kabisa!... Mtu hunywi pombe, sigara but at a very young age unakuja kupata gonjwa la ajabu unaperish like that yaani!

Sasa bi kidude mifegi, mipombe na kaanza usichanani kalisongesha miaka 100 huko! Life is not fair kwakweli!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom