Umeeleweka mbona hats hiyo inaachika kirahisi tu. Nitafute nikupe mbinuHaaahaaa......ulivyonibwatukia ....mbavu bado zinaniuma!
Btw mi kuna kilevi kimoja nimepambana kukiacha na nahisi nafanikiwa ni kile cha Deluxe....hope umeelewa!
Hata tukikupa majibu bado huwezi kuacha, cha msingi ni wewe kupunguza matumizi ya tumbaku.Kwanini ni ngumu sana mtu anayevuta Sigara kuacha kuvuta.
Maurizio Sari unaishi nae? Ndiye uliyemtolea mfano! Hivi ukiwa humu na ukaandika kiswahili tayari unakua ni mbongo? Hakuna aliyekubishia soma tena comment yangu uielewe.Sasa kama umeishi na anaevuta pakiti 4 inawezekana vipi kunikatalia kuwa mimi sijaishi na anaevuta pakiti kumi?
Mbona wabongo wabishi sana? Nikikwambia kuna mtu anakunywa bia crate mbili utanibishia kwasababu mlevi unaemjua wewe akinywa bia 5 basi kalewa chakari?
Sigara ina Nicotine ambayo ni habit-forming stimulant,so ukivuta sigara unakua addicted to nicotine.Kwanini ni ngumu sana mtu anayevuta Sigara kuacha kuvuta.
Unaamua kukaza ubongo tu mkuu. Mbali na Sarri sijamtaja mzee jirani yangu?Maurizio Sari unaishi nae? Ndiye uliyemtolea mfano! Hivi ukiwa humu na ukaandika kiswahili tayari unakua ni mbongo? Hakuna aliyekubishia soma tena comment yangu uielewe.
U know it?Deluxe?
Usijaribu rafiki watu wanashindwa kutoka huko!...bia unapiga lkn?Nilitamani nijue stimu za drugs kma sigara na vyengine ile sikufanikiwa.
Hawaamini hao....eti sigara 6!Unaishi wapi mkuu? Watu wanachoma fegi wewe
Mkuu mi huyu jamaa nimemshuhudia kwa macho yangu na si mara moja or Mara mbili .....sasa sijui unabisha nini? Kama wewe hujawahi ona mi nimeshuhudia sasa!Mtu mwingine aseme walau pakti 3 tu kwa siku.
Sigara 120 anazivutaje kwa masaa 16?
Jivutie mwaya maisha mafupi haya!Mimi acha niendelee kuvuta tu ganja sigara saratani siingilii madukani.
Tatizo huku bongo mnavuta makushabu....mambele kitu kinachambuliwa balaa!Haha!, asa mkuu unafikiri hilo pafu mchezo watu tunatishiana nyau tu. Si umemuona Fidel Castro kaishi adi kawa kikongwe
Baereze baerewe!kwa mfipa maji ya ugoko, chang'ombe, simbani, kitende, viziwaziwa au galagaza?
Watu wanavuta kama kawaida mkuu hizo 120 chache sana.
Bonge la point!.... Kama we hujashuhudia kitu usigeneralize kuwa haiwezekani!Sasa kama umeishi na anaevuta pakiti 4 inawezekana vipi kunikatalia kuwa mimi sijaishi na anaevuta pakiti kumi?
Mbona wabongo wabishi sana? Nikikwambia kuna mtu anakunywa bia crate mbili utanibishia kwasababu mlevi unaemjua wewe akinywa bia 5 basi kalewa chakari?
Hivi kuko na sigara inaitwa sports? NatumI jina lake siyo sportsmam ila ni portsman. Isn't it?Tunaovuta embassy,sports,SM,safari tukutane hapa
Ila maisha hayana formula kabisa!... Mtu hunywi pombe, sigara but at a very young age unakuja kupata gonjwa la ajabu unaperish like that yaani!Castro alikuwa anapiga cigars sio sigara,Tena za Bei ya juu,halafu cigars hauvuti moshi ndani unaishia mdomono,sema haya mambo hayana formula Bibi kidude alikuwa anapiga Sana fegi na ganja ila kafariki akiwa kikongwe
Ntakustua tarehe 1/12Umeeleweka mbona hats hiyo inaachika kirahisi tu. Nitafute nikupe mbinu
Hiyo nicotine ina nini mkuu?Sigara ina Nicotine ambayo ni habit-forming stimulant,so ukivuta sigara unakua addicted to nicotine.
Unaamua kukaza ubongo tu mkuu. Mbali na Sarri sijamtaja mzee jirani yangu?