Uvutaji wa sigara.

mwanya2

Member
Jul 21, 2015
94
49
Naomba kuuliza, hivi kwa mtu anaevuta sigara akiwa karibu na wewe ule moshi wa sigara unaweza kukuathiri wewe mtu wa pembeni yake?
Kwani hawa wavutaji wa sigara huwa hawana staha hata mbele za aatu wanavuta masigara yao.
 
Kuvuta sigara hovyo ni uchafuzi wa mazingira, nadhani unaelewa endapo mtu mmoja ataamua kuleta athari ya kimazingira basi hata wewe uliyekuwa mtunza mazingira lazima upate joto la jiwe.
 
Hali ilivyo kwa masmoker
tapatalk_1541264423943.jpeg
 
Naomba kuuliza, hivi kwa mtu anaevuta sigara akiwa karibu na wewe ule moshi wa sigara unaweza kukuathiri wewe mtu wa pembeni yake?
Kwani hawa wavutaji wa sigara huwa hawana staha hata mbele za aatu wanavuta masigara yao.

Mtu aliye karibu na mvuta sigara hupata madhara zaidi kwa kuwa huwa anavuta moshi wa sigara ambao haujapita kwenye filter.

Kumbuka mvutaji hutumia sigara zenye tar na nicotine ambazo huwa zinampa mvutaji hamu isiyoisha ya kutaka sigara.Kwa kuwa mvutaji hutumia kings (filter) sigara huendelea kutoa moshi ambao mtu aliye karibu na mvutaji huvuta na madhara yake ni makubwa kuliko kwa mvutaji.

Ukiweza mshawishi mtu aache kuvuta sigara kabisa kwani ni sumu mbaya.
 
Mi nakereka sana na hivi vimoshi vya sigara ndogo ndogo,mwanaume unatakiwa kuvuta Sigara kubwa ile Kali kutoka Malawi au Colombia
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom