Uvumilivu umewahi kukupa kitu kimasihala au kukuepushia kitu kimasihala

Cosovo

JF-Expert Member
Jul 8, 2018
667
1,795
Hiki kitu nakiri ni muhimu sana kama unafukuzia manzi

Umewahi kufukuzia demu akawa anakupa miadi ya uongo au miyeyusho ikawa mingi ukawa unataka kukata tamaa na kutokana na ahadi fake na miyeyusho ukawa unataka utoe https://jamii.app/JFUserGuide(tusi au lugha ya kuudhi) baadae ukapotezea baadae ukajikuta anajileta mwenyewe?

1,Kuna siku nilimuaproach manzi,pamoja na vibomu vingi alivyokuwa amenipiga ,ahadi zikawa nyingi zisizo na sababu maalumu,nikachukua sim nikataka nimpe makavu ila nikahairisha ghafla baada ya dakika 10 akanitumia sms ya kuandaa mazingira ya kuwa pamoja jioni na kweli akatimiza hiyo ahadi

2,Siku moja nikawa namtaka demu mmoja,akanizengua hatari kwa lugha isiyokuwa na matumaini,nami hasira zikaja nikataka nimjibu makavu,niaandika SMS vizur nimjibu nikaifuta baadae nikaa visiku nikashangaa demu ananitafuta nikashangaa baadae akakubali nikala mzigo

3,Huyu yeye nilkuwa naye kwenye mahusiano,alikuwa vizuri kiuchumi,nikamuomba anikopeshe hela nimekwama nitamrudia ila akawa anapiga chenga,ahadi zikawa nyingi lugha za kejeli .Nikawaza nimwambia nimehairisha staki hela yako,ghafla sms ikaingia kuangalia ni yeye kanitumia na tena na ya kutolea imo

4,Huyu aliahidi kuwa baada ya SAA 3 atakuwa amefika ghetoni kwangu tumalize kazi baaada ya mizungukano ya hapa na pale ,siku hiyo nikaandaa mandhari safi pale gheto,na nikaandaa vinywaji ili kuzindua game nk

Nikakaa kumsubiri,masaa 3 yakapita akawa hakufika,nikampigia sim akanambia baada ya dakika 10 atakuwa amefka,dakika 50 hajafka bado ,kupiga sim hapokei,nikakaa kama dakika 5 hivi nikapiga sim haipatikani

Hasira zikaja nikaenda sehemu ya sms nikaandika sms ya mabango na matusi kibao ,nikataka nitume nikawaza ngoja nimpigie asipopatikana natuma ,Nikapiga hapatikaani,nikarudi inbox haraka nimtumie ,ghafla nikasikia mlango unagongwa kufungua alikuwa yeye ,dah nikasema mungu amesaidia sikutuma sms hii leo kingewaka

5,Huyu alikuwa mwanafunzi wa kidato cha pili,nilimuaproach akakubali,tukawa tumepanga kila kitu na sehemu ya kukutana ,sijui nini kilitokea hatukukutana,siku zikaenda bila kukutana,baada mwezi mmoja nikasikia amefukuzwa shule kwa sababu ya mimba,,dah nilimuomba mungu,nikasema hivi kumbe ningemgonga huyu denti ningeingia kwenye msala

Je wew umewahi kukutwa na hali hiyo?
 
Mvumilivu hula mbivu ila pia ngoja ngoja huumiza matumbo sasa inataka tu bahati ikuangukie ya kuvumilia mkuu
 
Nimechalala siku hiyo nimeweka 2000 mkeka game 11 odd 100+ zote zimetiki kabaki psg anacheza na Rb leipzig uefa saaa nne usiku. Mpaka dkk ya 80+ goli psg kawekwa 1-0. me nimeweka 3+ Nikataka niturbo nipate kidogo nikasema potelea pote navumilia. Dkk ya 85 1-1, 90+4 Mbappe kaweka la tatu. Kesho nikaenda pata mbuzi choma asubuhi tu.🤣🤣🤣


Nimeomba kazi sehemu part time. Majungu yakawaa mengi nikaamua kupotezea. Kesho yake niko home napigiwa simu kazi sehemu nyingine tena ina hela kuliko ile ya kwanza. Na ni ya muda mrefu kidogo. Ina maana ningekubali ile ya majungu ningekosa hii. Mungu ana makusudi yake.

Nimetaka panda dalala pale stendi ya zanani ubungo imejaa ingebidi nisimame, nikasema ngoja nivumilie hadii hii nyingine nikae sema hadi ijae inachukua muda. Gari zilikuwa zinakaa kwa foleni.
Kufika tazara ile gari niliyoiacha imepata ajali na wengine wamekufa.
 
Hizo scenerio ni kawaida sana kwa watt wakike, usiwe na papala nao utawala vzr atakama akizingua leo next umaweza mpata chamsingi tu usimtole kauli chafu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom