Uvumilivu hadi lini?

Tutor B

JF-Expert Member
Jun 11, 2011
9,025
6,554
Kama ni uvumilivu, kweli watanzania tumekuwawavumilivu sana. Serikali yetu imekuwa haiwajali wananchi wake na sasa watanzania tufumbuke macho tuweze kuona mbali tulikotoka, tujitazame tuipo na tuangalie kwa makini wapi tunakokwenda.
Mtukio ni mengi lakini binafsi naishangaa serikali na jeshi la polisi. Hivi kwa matukio ya hivi karibuni yanayohusisha siasa, mbona jeshi la polisi limekuwa na kasumba ya kuahidi kuyafanyia uchunguzi lakini hakuna hata moja lililotolewa majibu ya kueleweka? Labda mwana JF yawezekana wewe umeishapata majibu ya matukio yafuatayo:-

  • Kutekwa kwa dr. Ulimboka
  • Kuteswa kwa Kibanda,
  • Kuuawa kwa Fr.Mushi Zanzibar,
  • Kuuawa kwa Mwandishi wa habari Iringa,
  • Uchomwaji wa makanisa,
  • Bomu la Kanisani Arusha,
  • Bomu la kwenye mkutano wa CDM – arusha,
Haya ni machache tu; hivi jeshi la polisi na wapelelezi wake wanakula mshahara bure pasipo kutupa majibu ya matukio haya, wanasubiri tukio lipi lenye ukubwa upi ndo wafanye kazi yao? Kuna haja gani ya kuendelea kuwepo kwa jeshi la polisi lisilojua majukumu yake?
 
Kwa hiyo unashauri nini?
 
Je ni kiongozi chama kipi alisema watahakikisha nchi haitatawalika? je ni kiongozi wa chama kipi alisema wanahakikisha arusha watashinda kwa gharama yoyote? hiyo ni "circumstantial evidence" kuwa mauaji yote ya arusha yanapangwa na chadema ili watu waichukie serikali yao. Kumbuka kesi ya kupanga njama za mauaji iko mahakamani.
 
Kama ni uvumilivu, kweli watanzania tumekuwawavumilivu sana. Serikali yetu imekuwa haiwajali wananchi wake na sasa watanzania tufumbuke macho tuweze kuona mbali tulikotoka, tujitazame tuipo na tuangalie kwa makini wapi tunakokwenda.
Mtukio ni mengi lakini binafsi naishangaa serikali na jeshi la polisi. Hivi kwa matukio ya hivi karibuni yanayohusisha siasa, mbona jeshi la polisi limekuwa na kasumba ya kuahidi kuyafanyia uchunguzi lakini hakuna hata moja lililotolewa majibu ya kueleweka? Labda mwana JF yawezekana wewe umeishapata majibu ya matukio yafuatayo:-

  • Kutekwa kwa dr. Ulimboka
  • Kuteswa kwa Kibanda,
  • Kuuawa kwa Fr.Mushi Zanzibar,
  • Kuuawa kwa Mwandishi wa habari Iringa,
  • Uchomwaji wa makanisa,
  • Bomu la Kanisani Arusha,
  • Bomu la kwenye mkutano wa CDM – arusha,
HAYO YOTE YAMEFANYWA NA CHADEMA MAANA NDO CHAMA CHENYE MAGAID.
 
Ni kweli inahitajika busara kubwa kumbadilisha alonyweshwa maji ya bendera. Ina maana we hujui kwamba CDM haimiliki chombo chochote cha dola?
 
Toa jawabu tufanye nini sasa?

Jibu unalo lakini hutaki kuchukua hatua. Kwani hujui serikali korofi huwa inaondolewaje madarakani?
Ona sasa Polisi sasa hivi Arusha wapo wanaangaika kuficha ukweli.
 
Back
Top Bottom