UVUMILIVU AFRICA: Is it a Compliment ?

WABUSH

JF-Expert Member
Oct 14, 2010
285
4
Mkanganyiko wa matukio kabla na baada ya uchaguzi TZ umenikumbusha ujumbe wa waziri wa mambo ya nje Denmark. Katika mkutano wake na wasomi wa chuo kikuu (CBS), Waziri huyu aliulizwa ni kitu gani cha pekee anaweza kujifunza kutoka Africa.

Jibu lake lilikuwa ni UVUMILIVU. Anasema africa tunavumilia vitu ambavyo haviwezi kuvumiliwa kokote duniani. "Africans are exceptionally tolerant". Is this a compliment ?
 
Ni kweli kwamba waafrica ni wavumilivu lakini siku uvumilivu unapofika kikomo huwa haturudi nyuma na wala hatusikii la mtu.
 
Tatizo letu moja kubwa waafrika hata ndani ya mipaka yetu bado atujitambui kama ni kitu kimoja apart from nationality identification. Lakini hatuna nguzo za kama vile utamaduni wa kitaifa na asili inayotambulika katika jamii nzima a common shared identity and life perspective(kwertu wengine wanataka kuzurura na man'gombe polini, wengine wanataka kujichanjanja sijui kwa faida gani leo hii, na mambo mengine ya ajabu ajabu tu yaani tafrani tupu).

Ukitoa heshima ya kijamii tuna atari nyingi ambazo zinatufanya tu-trade with a thin line kwenye issues zinazotaka umoja. Ndio maana bado kuna mijitu ambayo imeweka dini zao mbele, ukabila na mambo mengine ya kijinga. Ni vitu ambavyo tuna chukulia for granted lakini consciously vinatufanya tujiwekee mazingira magumu na ya kuweka uoga wa kimawazo. Mfano hukimsema raisi hoo utaitwa mdini kama sio wa dini yake na kuna wengine wanafanya hivyo kwa sababu hizo hizo za udini, na kibaya ni sisi wenyewe tunachangia on stigimazation of outside influence na kuacha kujenga misingi ya kutupa picha ya pamoja outside our national identity.

Hapa ndipo tunapoanza kujimaliza wenyewe kwa sababu tumeshajipa mistari ya kijinga kujitambua zaidi wenyewe kupitia (dini na kabila in most cases) hivyo, hili kuwa na amani inabidi tuwe na tolerance ya kuweza kuishi pamoja ambayo inaruhusu upuuzi fulani uendelee. Na wanasiasa wanajua binadamu wanapenda amani kwa hiyo kama kwetu dini inatumiwa kuweka amani na kizuizi fulani. kwa kuwa sisi wenyewe tumeweka ujinga wa kujitambua kwa dini na makabila.

Hivyo mpaka tujitambue na common identity first and goals bila ya kuangalia udini au ukabila tutaendelea kuzubaa hivihivi, huko kusini watachagua hao akina sijui nani wa cuf kupitia dini, na huko korogwe watachagua akina maji marefu sijui kwa sababu wamezaliwa. Na sisi tutabaki kunyamaza tukisema hawa jamaa hawana ability za kazi tutaitwa wadini au wakabila. Mpaka hapo atokee mtu wa dini hiyo au kabila hilo ndio aseme wengine lakini weng aturuhusiwi. Ndio ujue sisi tunajifunza kuishi kwa pamoja tu lakini si watu wamoja kibaya zaidi tumeshachorewa mipaka na ndoa ya maisha. The sooner we learn to tolerate the better lakini bado sana kama humu tunadai mmeja werevu na upuuzi wa dini unaoendelea sijui huko ardhini kuna hali gani.

Tazama hata JF hakuna jukwaa la 'sanaa' anyway tutaongea nini cha kujivunia zaidi ya bongo flava, lakini atuna utamaduni wa kitaifa zaidi ya kukimbiza mwenge, DuuH! Kaazi kweli kweli.
 
Hamna cha uvumilivu kutokana na mazingira halisi imekuwa mazoea na ujinga juu yake. Hata kizazi gani kije afrika haibadiliki.
Angetoa mfano Afrika inavumilia nini mana binafsi sijaona kinachovumiliwa ila ndio tulivyo na tutazidi kuwa hivyo hivyo
 
Safi sana. Nimependa maoni yako.
 
Hamna cha uvumilivu kutokana na mazingira halisi imekuwa mazoea na ujinga juu yake. Hata kizazi gani kije afrika haibadiliki.
Angetoa mfano Afrika inavumilia nini mana binafsi sijaona kinachovumiliwa ila ndio tulivyo na tutazidi kuwa hivyo hivyo
Sasa huu ujinga na uwoga wetu unatokana na nini? maana uoga wa kukata mbuga ya manyara kwa miguu wengi tutakuwa tumesha reason ni kuwa kuna mr lion wa kum-negotiate njiani hii inakufanya ufikirie mara mbili kuranda randa huko. Sasa hii tolerance nature ya muafrika inatoka na nini?

Ikiwa wengi wetu hatukati mbuga kwa kuwa tumesha jua madhara, then what is the nature of cowardness it must be explained science doesnt believe in anything but a proven practical explanation. In this case the psychological nature of our tolerance?
 
Mkanganyiko wa matukio kabla na baada ya uchaguzi TZ umenikumbusha ujumbe wa waziri wa mambo ya nje Denmark. Katika mkutano wake na wasomi wa chuo kikuu (CBS), Waziri huyu aliulizwa ni kitu gani cha pekee anaweza kujifunza kutoka Africa.

Jibu lake lilikuwa ni UVUMILIVU. Anasema africa tunavumilia vitu ambavyo haviwezi kuvumiliwa kokote duniani. "Africans are exceptionally tolerant". Is this a compliment ?

Jamaa amekuwa politically correct. Africans are exceptionally tolerant is the new Ndivyo mlivyo.
 
Sasa huu ujinga na uwoga wetu unatokana na nini? maana uoga wa kukata mbuga ya manyara kwa miguu wengi tutakuwa tumesha reason ni kuwa kuna mr lion wa kum-negotiate njiani hii inakufanya ufikirie mara mbili kuranda randa huko. Sasa hii tolerance nature ya muafrika inatoka na nini?

Ikiwa wengi wetu hatukati mbuga kwa kuwa tumesha jua madhara, then what is the nature of cowardness it must be explain science doesnt believe in anything but a proven practical explanation. In this the psychological nature of our tolerance.

Uoga wetu na ujinga wetu ni ndivyo tulivyo, period.
 
JC:

Kuishi Manyara ni woga wa kutopambana na binadamu wenzio na kutegemea natural resources.
 
Uoga wetu na ujinga wetu ni ndivyo tulivyo, period.
Uwezi kusema 'ndivyo tulivyo' kwa sababu the concept has been refuted by behaviour psychologist almost a century ago, to the point my man Watson had dared them to give him an infant and he could turn it to anything he desires in this life a doctor, a beggar, a lawyer an engineer you name it.
 
Hao hao walio refute "almost a century ago" ni watu gani kama siyo hao hao wazungu? Au kulikuwa na mwafrika kwenye hilo kundi la hao 'behaviour psychologist'?
 
Mbona wapo waafrika wengi sana wagunduzi embu try googling black investors uone mi patents waliojaza watu weusi ambazo wazungu hawataki tuwatambue.
 
Unaona sasa ujinga wa mwafrika ulivyo? Wewe unasubiri hadi utambuliwe na mzungu? Kwani huwezi tu ukavumbua na kuuboresha huo uvumbuzi wako bila baraka za mzungu? Eti wazungu hawataki yuwatambue wavumbuzi weusi.....my ass
 
Back
Top Bottom