Uvumi wa kukamatwa kwa karatasi za kupigia kura Tunduma

Wapiganaji wa TRA, immmigration polisi popote mlipo kazeni buti .Kagueni kila kitu .Tunaipenda TANZANIA YETU.
 
......i made a call from a friend of mine residing in tunduma....he has confirmed the incidence!
 
mimi jamani ninashangaa mbona kwenye media sijasikia au ndo wanataka kuyeyusha juu kwa juu jamaani vyanzo vya habari naomba muweke wazi habari hii watanzania tumechoshwa kuongozwa na wezi na hizi ni nyakati za mwisho tunaomba muwaweke watanzania wenye uchungu na nchi yao wazi kwa habari hii ili ikifika 31oct 2010 wajue wanatakiwa kufanya nini. Tumpe huyu doctor aliyekaa darasani siyo huyu alopewa bila darasa.
DR SLAA FOR PRESIDENT NO COMMENT.CCM:A S 103:BYE BYE
 
sasa muulize wamechukua hatua gani wakiwa kama watanzani wapenda maendeleo? Mwambie wakalizingire hilo gari hadi kieleweke i wish ningekuwa huko tunduma
 
Taarifa kutoka Tunduma, mpakani mwa Tanzania na Zambia mkoani Mbeya zinasema kuwa lori la kampuni ya Azam linalomilikiwa na mfanyabiasha maarufu Bakhresa leo hii tarehe 18 Oktoba, 2010, limekamatwa likiwa na shehena kubwa la karatasi za kupigia kura zitakazotumika uchaguzi mkuu Oktoba 31.

Maafisa wa TRA tunduma walishtuka baada ya kukuta karatasi hizo za kupigia kura zimefichwa kwenye shehena ya vipodozi. Inasemekana kuwa mzigo huo wa karatasi za kupiga kura ulitokea Afrika Kusini na ulipakiwa kwenye gari la Azam kutoka kwenye gari lililotoka na mzigo kutoka Afrika Kusini.

Taarifa zinasema kuwa lori hilo la Azam linashikiliwa na TRA na mzigo huo umekuwa sealed. Kuna hofu kuwa vigogo wenye njama za kuiba kura wanaweza kujaribu kufuta ushahidi kuhusu kukamatwa kwa karatasi hizi za kupiga kura.

Kwa mujibu wa taarifa hizo, karatasi hizo za kupiga kura tayari zimewekewa tiki kumchagua Jakaya Kikwete wa CCM na lengo ni kuwa zisambazwe kwenye vituo mbalimbali vya kupigia kura nchini na zihesabiwe kama kura halali.

Tafadhali mwenye taarifa zaidi kutoka mpakani Tunduma atupatie ukweli wa jambo hili.

MUNGU IBARIKI TANZANIA!

UTATA WA TAARIFA YAKO!!!

  • Kwa issue nyeti kama hiyo, CCM sio wajinga hata wafikie kutumia gari la mtu binafsi wakati zigo kama hilo lingeweza kupitishwa kwa namna nyingine!!!
  • Na kama wangetumia gari hilo, basi wangehakikisha mtandao wa hujuma unaenea kuanzia hapo mpakani
  • Kwenye hivyo vituo zingehasabiwa wakati mawakala wa upinzani wapo wapi? Au ndo kama mnavyosema kwamba CCM wanapanga njama za kuwanunua? Kama kweli watanunuliwa basi kumbe wana-chadema nao wananunulika
  • KAMA karatasi hizo zilifichwa kwenye makasha ya vipodozi basi natarajia yangekuwa mbali na mlango ambako zisingeonekana kirahisi. Kama TRA walipekuwa kote huko hadi wakazifuma basi bila shaka walikuwa na taarifa hivyo hawakuwa na sababu ya kushituka kama unavyodai!
CONCLUSION:
Mauzushi kama haya ndo mabaya kuliko yote na bila shaka mnajiandaa kukataa matokeo ya uchaguzi hata kama uchaguzi huo utakuwa huru na haki!!! Hapa ndipo ninapoona busara ya kauli ya Abdul Shimbo!!
 
Kama ni kweli, basi ni hatari zaidi... ila itakua hatari zaidi kama serikali itakuja kuzichukua hapo na kujidai wanaenda kufanya uchunguzi, WATACHAKACHUA TU!!

Ningekua naishi tunduma, ningepiga kiberiti hilo gari na ushahidi ufie mbali... basi wakachapishe nyingine kama wanaweza

In red, it is the best solution. All lorries owned by Bakhresa crossing our borders bound for DSM should catch fire!!!!!!
 
UTATA WA TAARIFA YAKO!!!

  • Kwa issue nyeti kama hiyo, CCM sio wajinga hata wafikie kutumia gari la mtu binafsi wakati zigo kama hilo lingeweza kupitishwa kwa namna nyingine!!!
  • Na kama wangetumia gari hilo, basi wangehakikisha mtandao wa hujuma unaenea kuanzia hapo mpakani
  • Kwenye hivyo vituo zingehasabiwa wakati mawakala wa upinzani wapo wapi? Au ndo kama mnavyosema kwamba CCM wanapanga njama za kuwanunua? Kama kweli watanunuliwa basi kumbe wana-chadema nao wananunulika
  • KAMA karatasi hizo zilifichwa kwenye makasha ya vipodozi basi natarajia yangekuwa mbali na mlango ambako zisingeonekana kirahisi. Kama TRA walipekuwa kote huko hadi wakazifuma basi bila shaka walikuwa na taarifa hivyo hawakuwa na sababu ya kushituka kama unavyodai!
CONCLUSION:
Mauzushi kama haya ndo mabaya kuliko yote na bila shaka mnajiandaa kukataa matokeo ya uchaguzi hata kama uchaguzi huo utakuwa huru na haki!!! Hapa ndipo ninapoona busara ya kauli ya Abdul Shimbo!!

Kwani umedhibitisha hii taarifa ni uzushi?
Kuna lori la Bakhresa liko mpakani Tunduma?
Je kwani huwa wanatumia njia gani kuingiza karatasi za kura?
Je kama wali sawazisha njia ikatokea wapinzani nao wanawatu wao TRA/Customes au UWT?
Wizi wa 1995 ulikuwa rahisi kwani upinzani ulikuwa una miaka miwili tu , sasa ni miaka 15, upinzani wamezaa UWT,TRA, Polisi, Wanajeshi, mgambo, Customes officer nk.
Haiwezekani tena kwa chama chochote cha siasa kutumia vyombo vya ulinzi kwa hujuma ikawa siri.

Wizi wa mwaka huu utakuwa mgumu sana na busara isipotumika patachimbika kuliko kokote afrika, kwani watanzania hawajui fujo, hawana adui, sijui itakuwaje?

Ukimfungia paka ndani ukaanza kumchapa viboko anakuwa chui, wewe utatafuta pakutoka badala ya paka.

Mungu ibariki Tanzania, Wape watawala moyo wa upendo wajue cheo ni dhamana wakubali nguvu ya umma kwani ni sauti ya Mungu.
 
......i made a call from a friend of mine residing in tunduma....he has confirmed the incidence!

Hapa ndo tuelewe picha halisi ya uchaguzi ujao, huyu bwana si kada wa chama fulani hapa nchini? na kama sikisei kiwanda chake kiliwahikupata msamaha wa kodi kwa miaka kadhaa. Once a lier always a lier, but they can't rule forever!
 
UTATA WA TAARIFA YAKO!!!

  • Kwa issue nyeti kama hiyo, CCM sio wajinga hata wafikie kutumia gari la mtu binafsi wakati zigo kama hilo lingeweza kupitishwa kwa namna nyingine!!!

  • Malipo hayakutosha ndo maana wamepigwa chini!
 
UTATA WA TAARIFA YAKO!!!

  • Kwa issue nyeti kama hiyo, CCM sio wajinga hata wafikie kutumia gari la mtu binafsi wakati zigo kama hilo lingeweza kupitishwa kwa namna nyingine!!!
  • Na kama wangetumia gari hilo, basi wangehakikisha mtandao wa hujuma unaenea kuanzia hapo mpakani
  • Kwenye hivyo vituo zingehasabiwa wakati mawakala wa upinzani wapo wapi? Au ndo kama mnavyosema kwamba CCM wanapanga njama za kuwanunua? Kama kweli watanunuliwa basi kumbe wana-chadema nao wananunulika
  • KAMA karatasi hizo zilifichwa kwenye makasha ya vipodozi basi natarajia yangekuwa mbali na mlango ambako zisingeonekana kirahisi. Kama TRA walipekuwa kote huko hadi wakazifuma basi bila shaka walikuwa na taarifa hivyo hawakuwa na sababu ya kushituka kama unavyodai!
CONCLUSION:
Mauzushi kama haya ndo mabaya kuliko yote na bila shaka mnajiandaa kukataa matokeo ya uchaguzi hata kama uchaguzi huo utakuwa huru na haki!!! Hapa ndipo ninapoona busara ya kauli ya Abdul Shimbo!!

CCM JK Family ndio deal lao hilo kwani ata uwezo wao wa kufikiri ni mdogo. Usambazaji wa sms za uchochezi si CCM? Sasa tuambie shehena ya pili ya karatasi za kupigia kura itafika lini kutoka London? Chadema hebu mwende hapo Tunduma! Kwa jinsi na wewe ulivyokuwa mvivu wa kufikiri unafikiri kuficha ni kuweka mbali na mlango wakati unaweza kuficha hata mlangoni! Hao TRA wana uzoefu na mafunzo ya kukagua mizigo.

Sheria ya taifa ya uchaguzi inasema kama hakuna nafasi ya kutosha kwenye kituo au usalama hautoshi basi maboksi ya kura huamishiwa kwingine kwa ajili ya kuhesabu, sasa hapo katikati ndipo mchezo mchafu huchezwa [kifungu hiki ni mahususi kwa shughuli hii ya kuchakachua].

Ndio maana Lipumba alihoji na kuingiwa na wasiwasi kwa karatasi za kura kuchapishwa nje ya nchi! Wakibanwa vizuri uchaguzi utakwama kwa kupungukiwa na karatasi.
 
mimi jamani ninashangaa mbona kwenye media sijasikia au ndo wanataka kuyeyusha juu kwa juu jamaani vyanzo vya habari naomba muweke wazi habari hii watanzania tumechoshwa kuongozwa na wezi na hizi ni nyakati za mwisho tunaomba muwaweke watanzania wenye uchungu na nchi yao wazi kwa habari hii ili ikifika 31oct 2010 wajue wanatakiwa kufanya nini. Tumpe huyu doctor aliyekaa darasani siyo huyu alopewa bila darasa.
DR SLAA FOR PRESIDENT NO COMMENT.CCM:A S 103:BYE BYE

Je, ili ni lorry la kwanza au mengine yamekwisha pita?
 
Duuuuuh hio kali, ila cha muhimu ni kujua ni idadi kamili ya wapiga kura kwa kila kituo na kisha lazima hizo kura zihesabiwe mbele ya wawakilishi wa kila chama na kukaguliwa ipasanyo maana kuna kitu cha kubadili maboksi ya kupigia kura ya kuweka yale yaliyo na kura za ndio kwa JK, huu ni wizi wao wa kila siku ila mwaka huu Mungu ametuona kilio chetu kimesisikika na CCM chaliiiiiiiiiiiiiiiiiii.
 
Wadau huu ni ukweli mtupu magari mawili ya A.A.Bahresa(named Azam on board)T 501AEM na T 263 AJN yako hapa kituo kikuu cha polisi mkoa Mbeya,binafsi nimeona hizo karatasi za kura ambazo JK kapigiwa kura ya ndio na ziko kama karatasi milioni tano kwa haraka haraka hope police watatoa taarifa kamili,wametutoa nje sijui wanazichakachua au?
 
wadau huu ni ukweli mtupu magari mawili ya a.a.bahresa(named azam on board)t 501aem na t 263 ajn yako hapa kituo kikuu cha polisi mkoa mbeya,binafsi nimeona hizo karatasi za kura ambazo jk kapigiwa kura ya ndio na ziko kama karatasi milioni tano kwa haraka haraka hope police watatoa taarifa kamili,wametutoa nje sijui wanazichakachua au?
tumekwisha!
 
Taarifa kutoka Tunduma, mpakani mwa Tanzania na Zambia mkoani Mbeya zinasema kuwa lori la kampuni ya Azam linalomilikiwa na mfanyabiasha maarufu Bakhresa leo hii tarehe 18 Oktoba, 2010, limekamatwa likiwa na shehena kubwa la karatasi za kupigia kura zitakazotumika uchaguzi mkuu Oktoba 31.

Maafisa wa TRA tunduma walishtuka baada ya kukuta karatasi hizo za kupigia kura zimefichwa kwenye shehena ya vipodozi. Inasemekana kuwa mzigo huo wa karatasi za kupiga kura ulitokea Afrika Kusini na ulipakiwa kwenye gari la Azam kutoka kwenye gari lililotoka na mzigo kutoka Afrika Kusini.

Taarifa zinasema kuwa lori hilo la Azam linashikiliwa na TRA na mzigo huo umekuwa sealed. Kuna hofu kuwa vigogo wenye njama za kuiba kura wanaweza kujaribu kufuta ushahidi kuhusu kukamatwa kwa karatasi hizi za kupiga kura.

Kwa mujibu wa taarifa hizo, karatasi hizo za kupiga kura tayari zimewekewa tiki kumchagua Jakaya Kikwete wa CCM na lengo ni kuwa zisambazwe kwenye vituo mbalimbali vya kupigia kura nchini na zihesabiwe kama kura halali.

Tafadhali mwenye taarifa zaidi kutoka mpakani Tunduma atupatie ukweli wa jambo hili.

MUNGU IBARIKI TANZANIA!

upo eneo la tukio?umetunga? vithibitisho walau picha na majina ya wahusika waliokamata gari umewahoji?au ndo wale wa mnaoeneza damu itamwagika mwaka huu.
 
" ........ Wadau huu ni ukweli mtupu magari mawili ya A.A.Bahresa(named Azam on board)T 501AEM na T 263 AJN yako hapa kituo kikuu cha polisi mkoa Mbeya,binafsi nimeona hizo karatasi za kura ambazo JK kapigiwa kura ya ndio na ziko kama karatasi milioni tano kwa haraka haraka hope police watatoa taarifa kamili,wametutoa nje sijui wanazichakachua "

Bado hujaona?
 
Back
Top Bottom