Uvumi wa kukamatwa kwa karatasi za kupigia kura Tunduma

Hii rambaramba imechoka huu uraia wa msimu! Why do we entertain these miserable and corrupt Indians!!! Nenda Ethiopia and see who own bness there
 
Jamani ifanyike kila njia ili jambo hili liwekwe hadharani. wasiweze kuficha ushahidi!! tusilipuuze hili maana ndio hawa ccm wamezoea kufanya kama hizo miaka yote!

Kazi kwa watu wa mbeya na wapenda maendeleo nchi hii.
 
Hili si suala la mchezo hata kidogo kama ni kweli ni lazima hatua kali zichukuliwe ikiwa ni pamoja na vyama vya ushindani kutoa malalamiko rasmi na kufungua kesi ya kikatiba na madai juu ya hili. Ni lazima kumlazimisha DPP naye achukue hatua kali dhidi ya hili. Tukiliachia hili hata kwa siku moja mafisadi hao watakanusha na kusema kuwa huo ulikuwa ni uvumi na si kweli. Ndiyo maana wapiga kura wote lazima walinde vituo kwani mafisadi wataleta kura bandia kuchakachua zile halali.
 
YAP YAP...Slaa amepakwa mafuta kama Daudi....sasa nimekubali


Asalam Alekum (Peace be Upon You)
 
bado natafuta ukweli kuhusu jambo hilo ingawa sishangai kwa JK na ccm yake.hawa hata wangeambiwa walete ngözi ya ****** wangeleta.kinachonipa moyo ni kwamba huwezi shindana na nguvu ya mungu.hata kama TRA wangeliruhusu lingepinduka njiani
 
Baada ya kupekuwa lori na kukuta karatasi za kupigia kura, TRA wakalizuia lori hilo na kuliwekea seal. I guess ni utaratibu wao wakikamata mzigo baada ya kupekua wanaweka seal yao. Source wa hii taarifa ni anonymous, lakini anasema baadhi ya waandishi wa habari wa Mbeya wanafahamu hili jambo. Hofu yangu ni kuwa wasije wakapewa rushwa ili kuzima kashfa hii kubwa.

Inatisha kama hali yenyewe ni hii ndio maana Kinana alikuwa anasema Chadema na Cuf wategemee pigo la nguvu 24 kabla ya uchaguzi kumbe ni karatasi za wizi?
 
Jamani ifanyike kila njia ili jambo hili liwekwe hadharani. wasiweze kuficha ushahidi!! tusilipuuze hili maana ndio hawa ccm wamezoea kufanya kama hizo miaka yote!

Kazi kwa watu wa mbeya na wapenda maendeleo nchi hii.

Mi nasema kwa nini watu wasivamie kujua kilichomo? Ndani ya dk 5 wakiingia vijana 100 wanafungua mzigo,mpaka polisi wakifika kuzuia itakuwa too late.Vinginevyo utasikia wanajitetea kuwa ni uzushi na kutishia kuwafikisha mahakamani wanaosambaza hizo habari.
 
kwani ikiwa sealed haiwezi funguliwa?

Kwa taarifa ya JF members, TRA hawa ni maafisa wa Forodha. Mzigo ukiwa sealed ni lazima kuwe na uwezo wa kuufungua ili Customs waone ni bidhaa ya kutoza ushuru au ni dangerous e.g. silaha etc.

Kwa hiyo hapa ccm na njama zao chafu wamepatikana. Shame on you all!!!!!!!!!!. Hungry and ruthless power seekers. Your days are numbered.
 
Baada ya kupekuwa lori na kukuta karatasi za kupigia kura, TRA wakalizuia lori hilo na kuliwekea seal. I guess ni utaratibu wao wakikamata mzigo baada ya kupekua wanaweka seal yao. Source wa hii taarifa ni anonymous, lakini anasema baadhi ya waandishi wa habari wa Mbeya wanafahamu hili jambo. Hofu yangu ni kuwa wasije wakapewa rushwa ili kuzima kashfa hii kubwa.

Fareed,

Asante sana kwa hii habari. Ila najaribu kufikiria hapa nasema labda CCM wanataka sisi tuamini kwamba hilo ndio gari peke lenye kura feki lililokamatwa. Naamini kuna mengine mengi yameshaingia ndani ya nchii.

Ila sasa naona CCM imeishiwa. Yani walishindwa hata kupiga simu tuu hilo ligari likaachiwa? Kweli watanzania tumechoka.
 
jamani walioko Tunduma, wasilale mpaka wamepata uhakika. hawa CCM wako tayari kuingia kwa njia yoyote... hiyo ni mojawapo
 
wakazi wa huko hawajapata taarifa,Mi ningekuwa huko ningeshamasisha vijana kama mia hivi tukavamie tuutoe ushahidi hadharani,mambo ya kusubiri haya ndo ushahidi unafutwa.

hiyo inawezekana tu hapa kwetu Tarime
 
JF ni kisima cha habari lakini umesahau neno moja zaidi kwamba JF ni kisima cha habari zilizo na ushahidi.
Inaelekea mwandishi hana uhakika ndio sababu anauliza watu wa Tunduma kama habari hii ni kweli. Ningemshauri kama kicha cha thread yake kingekuwa TETESI:***************
 
Cha muhimu ukishapiga kura usiondoke kituoni mpaka kura zihesabiwe na kupewa matokeo halali kwa kila kituo!nakumbuka mwaka 1995 ilboru sec wanafunzi tulipigia nccr kesho yake matokeo kutoka nccr haina kura hata moja!

kijijini Tumeisha. jana nilimuuliza mama mmoja aliyehidhuria mkutano wa camapaign za CCM alichokipata. mama yule alinijibu huku anaongea hata kiswahili hajui vizuri ''wanasema twendaghe huko tukajaaghe mimi hata sielewi ni kwanini'' anaijua CCM tu. haya maeneo nadhani kwa kiasi fulani yatatuangusha, naomba mkubali hilo. kama kuna uwezekano tuyafanyie kazi hizi wiki Mbili, Otherwise Tutaendelea kuburuzwa na CCM mpaka kiama.
 
tunalishana upepo tu. mi naona tusubili ushindi ambao uko njiani kuja.CHADEMA HOYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE
 
Bharessa sio Mhindi ni Mwarabu alipata Misaada sana toka ya Rais Mwinyi
 
Ni wapi ambapo tunaweza kupata taarifa zaidi za za kuthibisha madai haya? Itakuwa ni vibaya kama yatakuwa ni madai ya uwongo kwa sababu yatakapotokea ya kikweli kikweli watu watapuuza na kuchukulia kuwa ni uwongo uliozoeleka kumbe kura zikiwa zinapikwa haswa.
 
Back
Top Bottom