Uvumi wa kukamatwa kwa karatasi za kupigia kura Tunduma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uvumi wa kukamatwa kwa karatasi za kupigia kura Tunduma

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Fareed, Oct 18, 2010.

 1. F

  Fareed JF-Expert Member

  #1
  Oct 18, 2010
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 328
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Taarifa kutoka Tunduma, mpakani mwa Tanzania na Zambia mkoani Mbeya zinasema kuwa lori la kampuni ya Azam linalomilikiwa na mfanyabiasha maarufu Bakhresa leo hii tarehe 18 Oktoba, 2010, limekamatwa likiwa na shehena kubwa la karatasi za kupigia kura zitakazotumika uchaguzi mkuu Oktoba 31.

  Maafisa wa TRA tunduma walishtuka baada ya kukuta karatasi hizo za kupigia kura zimefichwa kwenye shehena ya vipodozi. Inasemekana kuwa mzigo huo wa karatasi za kupiga kura ulitokea Afrika Kusini na ulipakiwa kwenye gari la Azam kutoka kwenye gari lililotoka na mzigo kutoka Afrika Kusini.

  Taarifa zinasema kuwa lori hilo la Azam linashikiliwa na TRA na mzigo huo umekuwa sealed. Kuna hofu kuwa vigogo wenye njama za kuiba kura wanaweza kujaribu kufuta ushahidi kuhusu kukamatwa kwa karatasi hizi za kupiga kura.

  Kwa mujibu wa taarifa hizo, karatasi hizo za kupiga kura tayari zimewekewa tiki kumchagua Jakaya Kikwete wa CCM na lengo ni kuwa zisambazwe kwenye vituo mbalimbali vya kupigia kura nchini na zihesabiwe kama kura halali.

  Taarifa zaidi zinadai kuwa polisi wanaendelea na uchunguzi


  MUNGU IBARIKI TANZANIA!
   
 2. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  Alama za nyakati.

  Wahindi (kina Bakhresa) ndiyo wanaovuruga nchi yetu. Nikisema haya mnaniita mbaguzi wa rangi. nikisema haya mnaniita mimi mlalamishi
   
 3. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #3
  Oct 18, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Khaaaa
   
 4. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #4
  Oct 18, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Natamani taarifa hii iwe ina ukweli
   
 5. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #5
  Oct 18, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280

  JF is no place for gossip.

  Wait and see.
   
 6. Mazingira

  Mazingira JF-Expert Member

  #6
  Oct 18, 2010
  Joined: May 31, 2009
  Messages: 1,837
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  MUNGU amesikia kilio cha Watanzania kwahiyo kila njama ya CCM mwaka huu itawekwa wazi.
   
 7. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #7
  Oct 18, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Kabla sijaanza kushangilia naomba source ya taarifa, pls!
   
 8. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #8
  Oct 18, 2010
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,936
  Likes Received: 12,207
  Trophy Points: 280
  What????????
   
 9. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #9
  Oct 18, 2010
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Taarifa inasema mzigo uko sealed wamejuaje kuwa ni karatasi za kupiga kura na zina tiki ya kumchagua Kikwete? mmmmh
   
 10. tzjamani

  tzjamani JF-Expert Member

  #10
  Oct 18, 2010
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 997
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ee Mungu fungua kila mlango wa hila tuwaone wabaya wetu mwaka huu.
   
 11. Joss

  Joss JF-Expert Member

  #11
  Oct 18, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 729
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  wakazi wa huko hawajapata taarifa,Mi ningekuwa huko ningeshamasisha vijana kama mia hivi tukavamie tuutoe ushahidi hadharani,mambo ya kusubiri haya ndo ushahidi unafutwa.
   
 12. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #12
  Oct 18, 2010
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Si taarifa ya kupuuza lakini hadi sasa imekaa kama propaganda.
   
 13. C

  Chamkoroma Senior Member

  #13
  Oct 18, 2010
  Joined: Sep 6, 2010
  Messages: 187
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  EEEEEEEEEEEEEEEeee, Mungu we liangallie hili kwani watu ninani hata wakusumbue? walisindwa jeshi kubwa baada ya kusikia wakoma wanne wakijakama farasi za kijeshi, ole wao wadhaniao kuwa Mungu tunaemuomba ambae ametupa nchi ya asali na maziwa,amelala haoni wafanyalo
  Mungu anasema kwakuwa watu wameombolez hakika ataiponya nchi yetu tok mikononi mwa wenye uchu wakujitajirisha harakaharaka.
   
 14. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #14
  Oct 18, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,522
  Likes Received: 19,945
  Trophy Points: 280
  Source ni JF
   
 15. Oxlade-Chamberlain

  Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member

  #15
  Oct 18, 2010
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 7,928
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Kumekucha tayari, mie wala sihitaji source kitu kikiwekwa JF ujue kimetokea au kiko njiani kutokea.


  Hapa sasa wananchi inabidi tumuwajibishe Azam kwa kutonunua bidhaa zake.

  Chadema chonde chonde hakikisheni mna mawakala wa huakika.
   
 16. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #16
  Oct 18, 2010
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  If this is true we have reasons to be thankful to the Almighty. Kura halali lazima zimesabiwe mwaka huu.
   
 17. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #17
  Oct 18, 2010
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,085
  Likes Received: 4,032
  Trophy Points: 280
  kwani ikiwa sealed haiwezi funguliwa?
   
 18. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #18
  Oct 18, 2010
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,793
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Cha muhimu ukishapiga kura usiondoke kituoni mpaka kura zihesabiwe na kupewa matokeo halali kwa kila kituo!nakumbuka mwaka 1995 ilboru sec wanafunzi tulipigia nccr kesho yake matokeo kutoka nccr haina kura hata moja!
   
 19. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #19
  Oct 18, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Ina maana huo mzigo ulikokuwa unaenda usingefunguliwa eti kwa sababu una seal?
   
 20. F

  Fareed JF-Expert Member

  #20
  Oct 18, 2010
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 328
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Baada ya kupekuwa lori na kukuta karatasi za kupigia kura, TRA wakalizuia lori hilo na kuliwekea seal. I guess ni utaratibu wao wakikamata mzigo baada ya kupekua wanaweka seal yao. Source wa hii taarifa ni anonymous, lakini anasema baadhi ya waandishi wa habari wa Mbeya wanafahamu hili jambo. Hofu yangu ni kuwa wasije wakapewa rushwa ili kuzima kashfa hii kubwa.
   
Loading...