Uvumi kuwa Mzee Kikwete yupo nyuma ya Uongozi wa Rais Samia unaweza kuwa Kikwazo cha Ufanisi na chanzo cha kuhujumiwa kwake

Tunataka kanda ya ziwa mwanza, Tabora, shinyanga na simiyu Uhuru wetu, tutambulike kama nchi, tumechoka kuwa chini ya hawa mbwa kwanza sisi sio watanzania sisi ni sukuma country, tujitenge tu tuwachie maeneo mengine mjitawale...
Aiseee nimecheka kama umeandika kitu hivi. Dah leo ni sikukuu yenu wenye MAGONJWA YA AKILI.
 
Utaishia kujifariji kwenye mitandao kama wenzio machadema ila kamwe huwezi thubutu hata kuongea popote zaidi ya humu na tukitaka kukutafuta tutakupata but ni vile hauna impacts tunakupoteszea.

La sivyo anzisha hata thread hapa ya kujitenga uone moto
We mwache ajichanganye JF yenyewe itazimwa milele. Nashauri mods wapige ban huyo kichaa.
 
Ila amini na weka akili, mkiendeleza itikadi zenu za kikanda nakuundermine watu wa kanda ya ziwa, IPO siku mpasuko mkubwa katika taifa hili utatokea, soon kanda ya ziwa itatambulika kama taifa huru....
Wewe acha kelele anzisha thread ya kujitenga kama kutakucha salama kwako. Acha kujidanganya nyuma ya Keyboard, we unadhani hii JF inaendeshwa bila kufata sheria za nchi? Thubutu kuanzisha uzi afu uone mbwa wewe.
 
Punguza hasira shekh wangu muungano wa taifa hili chimbuko lake ni kanda ya ziwa kwa maana ya kiongozi shupavu Mwl JK Nyerere

kuweni wavumilivu tu kwenye hii vita ya TEAM BARA na TEAM PWANI
Wanaoleta ukanda ni watu waajabu sana...Sukuma gang wapi? Watu waliozoea kutumia ukabila na udini kuficha udhaifu wao ...Puuh I hate these people, God forbid ...Hawana hili wale lile...
 
Sukuma gang ni Kama mafukuriko huwezi yakwepa,ndiyo maana mtemi Hangaya kaenda Kanda ya ziwa Mara nyingi zaidi kuliko Kanda yoyote.Mtemi Hangaya anajua ukiweza kushawishi Kanda hii ushindi ni asubuhi.
Jiulize mkoa uliotoka Hangaya kafika Mara ngapi?
Kinachotakiwa ni akili na siyo mabavu, hivi unafahamu kwamba uchaguzi wa 2015 alipata kura asilimia ngapi ukilinganisha na watangulizi wake?
 
Sio kila uvumi ni WA kutilia maamani,mengine ni upuuzi kwa hiyo unapotezea..

Hata hivyo hivyo JK ni mtu wa heshima na amefanya Kazi kubwa Tzn na ndio Mkuu wa Nchi aliyebaki kwa ushauri baada ya wengine kitangulia,hata Mwendazake alikuwa ana mconsul na hakuna tatizo hata Samia kuwa nyuma yake.

Mwisho kwani hujawahi sikia Obama yuko nyuma ya Biden? Tatizo liko wapi?
Watanzania n watu wa ajabu sna. Inshort as long hakujiandaaa kushika nafasi hyo then ni muhimu kua na mentor ambaye anamuamini kua ata masapport.

By the way watu kama akina kikwete they have everything wanacho tafuta now n kuacha legacy tyu.

Kama atashindwa atashindwa yeye tyu hakuna mwingine wa kumlaumu.


Karibuni kwa huduma za LOGO | POSTER | MABANGO YA BIASHARA
 
Hivi rais wa nchi huwa ni "empty set" hadi ategemee ushauri toka kwa watangulizi au kundi la watu fulani? Yeye hana maono yoyote kwa taifa?
Enzi za Magufuli tulisikia anashauriwa vibawa, mara wanaomshauri wanamdanganya. Kuna wale waliotabiri kuwa Magufuli angekuwa controlled remotely from Msoga.
Leo tena mnadai mama anaendeshwa toka Msoga. Je, wote wanaoshika nafasi hii adhimu ni empty y kiasi cha kuendeshwa na mtu fulani?
Kama ni empty set, nini kifanyike ili tupate kichwa chenye kujiendesha kuongoza taifa?
 
Hahahahhahahahahahahahahahahaha.............


Mkuu leo tangu asubuhi hata chai umekosa muda wa kuinywa.

Hahaahahahhahahahahaaahahqhahahaha............
 
Sukuma Ganga at their best!! Mnatama aje USUKUMANI kuja kutaka ushauri!!
Acheni nchi ipumue mlitesa watu sana, mna roho mbaya sana,,

Mwacheni mama aongoze nchi kwa wakati wake sasa!! Mlifanya haramu nyingi ndo maana Mungu akawaibisha mchana kweupe!!
 
Back
Top Bottom