Uvumi: Kikwete Dissolves Cabinet!

Rev. Kishoka

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
4,526
1,529
Call it Gombesugu or Kumkoma Nyani Kiladi!

In wake of political uncertainty of Tanzania Government future due to inefficiency, incompetence and severe allegations of corruption and pressure from donor country and political opposition parties, President Jakaya Mrisho Kikwete has dissolved his government cabinet that was being led by his friend and political ally Prime Minister Edward Lowassa.

After a thunderous win by the ruling party CCM in 2005 elections that were followed with possibly the largest appointment of cabinet members ever in history of URT, President Kikwete created a cabinet that was supposed to address the basic and urgent needs of Wananchi using CCM new slogan Ari, Kasi na Nguvu Mpya!

To his disappointment and especially the shaky trust that CCM leadership and URT government has recently received from Wananchi, President Kikwete has decided it is time that a change is necessary to salvage his party from political embarrassment in upcoming local elections and National elections in year 2010.

This is a bold move and it will be characterized as swiftest mover to take place in Tanzania political history. It is expected that that the 80% that elected Kikwete, will re-elect him again in 2010 as a result of this clean up.

Kikwete's greatest disappointment on his government inefficiency has been caused by his right hand man, Prime Minister Lowassa.

Lowassa being famously known as the other partner to Boyz2Men has failed to be effective leader to execute the mission of their friendship and vision for Tanzania and meet the expectations of Wananchi. Lowassa arrogance, heavy handedness and pompousness have created animosity within the party and government and this has been speculated by many political analysts as road to the down fall of CCM.

It is not a surprise that Lowassa failed to secure confidence with CCM party Chairman for Vice Chairman post that was recently awarded to former speaker Pius Msekwa.

It is understood that the failure of Lowassa as leader of government in parliament to handle appropriately the Buzwagi mining contract saga, led to Kikwete and his inner circle famously known as "Mtandao" to loose their faith on him.

When Kigoma member on parliament Hon. Zitto Kabwe submitted a motion to investigate the irregular signing of Buzwagi mining contract in London by Mining Minister Nazir Karamagi, Lowassa failed to seize the opportunity to silence Kabwe (by agreeing to create a probe committee) and ended up using CCM influence and majority in parliament to suspend Zitto Kabwe on allegations presenting false testimony.

That was a terrible gamble on Lowassa part and some of ministers who sided with Lowassa and Karamagi, under estimating the outcome of populist Zitto Kabwe.

As a result of power arrogance in Lowassa's part, Tanzanians became aware of complete details of Buzwagi contract and several lists of Mafisadi which caused the donor countries to demand full investigations on all scandals that have been circulated through internet, such as BOT, Richmond and Buzwagi.

In a move that was perceived as ridicule to the parliament unanimous decision to suspend Kabwe, recently Kikwete appointed Kabwe to be part of presidential committee to review mining sector and contracts, something many Tanzanian's with mixed emotions and have eroded their confidence with their parliament.

Lowassa, who is also listed in the Orodha of Mafisadi, is being regarded as a political liability to Kikwete's network "Mtandao" which is working hard to cement its legacy in Tanzania political structure after waning off internal opposition from camps of Dr. Salim, Prof. Mwandosya, Sumaye, Iddi Simba, Malecela and former President Mkapa.

To guarantee his re-election and party majority in 2010 and even 2015 elections, Kikwete has decided to rid off his friend as a way to gain confidence with Wananchi and have a new fresh start.

He has 14 days to create a new cabinet and speculations from political analysts are that he is likely to appoint Prof. Mwandosya as new Prime Minister. It is known that Kikwete and Mwandosya have had differences in the past when they worked together in Ministry of Energy and Mining and even in recent months when Kikwete's camp "Mtandao" was working hard to place Thomas Mwang'onda as CCM NEC representative from Mbeya against Mwandosya.

As for Lowassa, his political future has come to an end. It is expected that he will step away from his parliamentary seat for Monduli in 2010, paving way to Joseph Sokoine to be the future representative of Monduli.

Lowassa will be remembered as a hot headed politician who was too proud to learn from his previous mistakes. He is being associated with the Richmond power supply saga and his reluctance and hesitation to take action to allow the parliament to conduct thorough investigation on the whole Richmond issue led Kikwete to cut his ties with him.

As for "Mtandao" and it's architect Rostam Aziz, this clean up is expected to take over the headlines for the next 12 months burying away the opposition and wananchi cries over Radar, IPTL, Richmond, BOT and Buzwagi scandals.
 
If he appoint Mwandosya to be the Prime Minister then I will apreciate this. But this Uvumi over Cabinet reform/dissoves have been ringing much. I am afraid the bell could damage before this; please Jk could yo do it ASAP Tanzania is rolling into the valley man put a ladder please.
 
This will not happen; I don't think JK is courageous enough to be able to ditch Lowassa.

This is another wishful thinking which won't happen; Lowassa will be our PM at least to the end of this parliament.

CCM dominance has been tested, but not threatened enough to warrant this very radical approach.
 
Call it Gombesugu or Kumkoma Nyani Kiladi!

In wake of political uncertainty of Tanzania Government future due to inefficiency, incompetence and severe allegations of corruption and pressure from donor country and political opposition parties, President Jakaya Mrisho Kikwete has dissolved his government cabinet that was being led by his friend and political ally Prime Minister Edward Lowassa.

After a thunderous win by the ruling party CCM in 2005 elections that were followed with possibly the largest appointment of cabinet members ever in history of URT, President Kikwete created a cabinet that was supposed to address the basic and urgent needs of Wananchi using CCM new slogan Ari, Kasi na Nguvu Mpya!

To his disappointment and especially the shaky trust that CCM leadership and URT government has recently received from Wananchi, President Kikwete has decided it is time that a change is necessary to salvage his party from political embarrassment in upcoming local elections and National elections in year 2010.

This is a bold move and it will be characterized as swiftest mover to take place in Tanzania political history. It is expected that that the 80% that elected Kikwete, will re-elect him again in 2010 as a result of this clean up.

Kikwete's greatest disappointment on his government inefficiency has been caused by his right hand man, Prime Minister Lowassa.

Lowassa being famously known as the other partner to Boyz2Men has failed to be effective leader to execute the mission of their friendship and vision for Tanzania and meet the expectations of Wananchi. Lowassa arrogance, heavy handedness and pompousness have created animosity within the party and government and this has been speculated by many political analysts as road to the down fall of CCM.

It is not a surprise that Lowassa failed to secure confidence with CCM party Chairman for Vice Chairman post that was recently awarded to former speaker Pius Msekwa.

It is understood that the failure of Lowassa as leader of government in parliament to handle appropriately the Buzwagi mining contract saga, led to Kikwete and his inner circle famously known as "Mtandao" to loose their faith on him.

When Kigoma member on parliament Hon. Zitto Kabwe submitted a motion to investigate the irregular signing of Buzwagi mining contract in London by Mining Minister Nazir Karamagi, Lowassa failed to seize the opportunity to silence Kabwe (by agreeing to create a probe committee) and ended up using CCM influence and majority in parliament to suspend Zitto Kabwe on allegations presenting false testimony.

That was a terrible gamble on Lowassa part and some of ministers who sided with Lowassa and Karamagi, under estimating the outcome of populist Zitto Kabwe.

As a result of power arrogance in Lowassa's part, Tanzanians became aware of complete details of Buzwagi contract and several lists of Mafisadi which caused the donor countries to demand full investigations on all scandals that have been circulated through internet, such as BOT, Richmond and Buzwagi.

In a move that was perceived as ridicule to the parliament unanimous decision to suspend Kabwe, recently Kikwete appointed Kabwe to be part of presidential committee to review mining sector and contracts, something many Tanzanian's with mixed emotions and have eroded their confidence with their parliament.

Lowassa, who is also listed in the Orodha of Mafisadi, is being regarded as a political liability to Kikwete's network "Mtandao" which is working hard to cement its legacy in Tanzania political structure after waning off internal opposition from camps of Dr. Salim, Prof. Mwandosya, Sumaye, Iddi Simba, Malecela and former President Mkapa.

To guarantee his re-election and party majority in 2010 and even 2015 elections, Kikwete has decided to rid off his friend as a way to gain confidence with Wananchi and have a new fresh start.

He has 14 days to create a new cabinet and speculations from political analysts are that he is likely to appoint Prof. Mwandosya as new Prime Minister. It is known that Kikwete and Mwandosya have had differences in the past when they worked together in Ministry of Energy and Mining and even in recent months when Kikwete's camp "Mtandao" was working hard to place Thomas Mwang'onda as CCM NEC representative from Mbeya against Mwandosya.

As for Lowassa, his political future has come to an end. It is expected that he will step away from his parliamentary seat for Monduli in 2010, paving way to Joseph Sokoine to be the future representative of Monduli.

Lowassa will be remembered as a hot headed politician who was too proud to learn from his previous mistakes. He is being associated with the Richmond power supply saga and his reluctance and hesitation to take action to allow the parliament to conduct thorough investigation on the whole Richmond issue led Kikwete to cut his ties with him.

As for "Mtandao" and it’s architect Rostam Aziz, this clean up is expected to take over the headlines for the next 12 months burying away the opposition and wananchi cries over Radar, IPTL, Richmond, BOT and Buzwagi scandals.

Rev,

Certainly he'll enter in the list of really patriots.We shall cancel him from the list of shame and enlist him among the list 'Tanzanian Prouds'

BUT ONLY IF HE HAVE THE GUTS
 
Fundi mitambo,

ni woga gani mlio nao mpaka mkahamisha hii topiki? Kisungura kimewatishia?
 
This will not happen; I don't think JK is courageous enough to be able to ditch Lowassa.

This is another wishful thinking which won't happen; Lowassa will be our PM at least to the end of this parliament.

CCM dominance has been tested, but not threatened enough to warrant this very radical approach.

Probably you are very right on this. Kumuacha Lowassa aendelee itakuwa ni kuhakikisha kuwa wao wawili wameingia pamoja na kama kuanguka wataanguka pamoja. Hiyo itakuwa ni political gamble. Kumuondoa Lowassa itamjengea sifa kubwa ya kuthubutu lakini itamuondolea imani ya watu waliokuwa loyal kwake. Kumbuka kuwa Lowassa alikuwa ni tishio kwa Kikwete kuanzia 1995 na whatever deal they had.. naamini Kikwete will stick with him, kwani aliyelipa gharama kubwa ya Urais ni Lowassa ambaye hakutaka hata kuleta jina lake kwenye KK ya CCM akiwa na matumaini kuwa mshikaji wake na "patner in crime" atapendekezwa na yeye ataukwaa Urais. Siamini kuwa Lowassa amefanya vibaya zaidi to warrant dismissal.

Endapo atavunja baraza, Rais sitashangaa atamrudisha Lowassa kama Waziri Mkuu na kuunda timu mpya kabisa ambayo ni yeye na wakuu wengine wa CCM wataiunda kumzunguka Lowassa. Haitakuwa timu ya "uchaguzi" kama ilivyokuwa 2005. Kwa kufanya hivyo anaweza kabisa kuingiza nafasi ya Naibu Waziri Mkuu kwa makusudi ya kupunguza makali ya Lowassa.

Endapo hata hivyo, ataamua kumtosa Lowassa moja kwa moja (kwa sababu siamini Lowassa atakuwa tayari kuchukua nafasi nyingine yoyote ya baraza la Mawaziri isipokuwa uwaziri mkuu), itakuwa ni mwisho wa urafiki wao na itakuwa ni mwisho wa matarajio ya kisiasa ya Lowassa, except kama atageuka kuwa "Mbunge Machachari" bungeni na kuanza kuichachafya serikali ili ajijengee mapenzi kwa wananchi, mapenzi ambayo kisiasa anayahitaji zaidi kuliko kuwa Waziri Mkuu.
 
That said don't expect Lowassa to be sacked by JK despite the horrendous job he's doing. So long as JK remains a president, Lowassa is here to stay. There is so much in stake. EL and his strong allies especially those ones of the North (Arusha)have done so much for JK over the years.
I might be wrong but I doubt it.
 
Akivunja cabinet halafu akaliunda tena akamrudisha tena Msolla na Mramba basi tutaita wataalamu kutoka nje wampepee rais wetu.
Yaani Jk kweli muda uliosalia anauchezea tu,kwa hiyo awamu yake hii anaimaliza akipanga na kupangua team work.Sijui 2010 atsema nini huyu jamaa.Mi naona kati ya marais waliturudisha nyuma hatua nyingi kimaendeleo ni huyu jamaa

Maskini Tanzania,tumekosa nini?
 
.......Endapo hata hivyo, ataamua kumtosa Lowassa moja kwa moja (kwa sababu siamini Lowassa atakuwa tayari kuchukua nafasi nyingine yoyote ya baraza la Mawaziri isipokuwa uwaziri mkuu), itakuwa ni mwisho wa urafiki wao na itakuwa ni mwisho wa matarajio ya kisiasa ya Lowassa, except kama atageuka kuwa "Mbunge Machachari" bungeni na kuanza kuichachafya serikali ili ajijengee mapenzi kwa wananchi, mapenzi ambayo kisiasa anayahitaji zaidi kuliko kuwa Waziri Mkuu.

Mkuu wa kijiji,
mbona unawapa majibu ambayo walishayakataa tangu awali? maana najua hili la kuvunja baraza anapaswa kulifanya leo halafu apange safu pya. ila kwa kuwa muungwana amekuwa mtoa maonyo tu, katu hatolivunja, atawapa muda wajirekebishe.

Mwanakijiji ukiendelea kuwapa majibu ya mtihani wao nitajiuzulu umemba humu
 
Inaelekea mnasahau yoyote anaeteuliwa kuwa PM lazima awe confirmed na Bunge. Bunge limeisha leo. Kesho mabadiliko yakitokea EL ataendelea. Hata hivyo kwa aina ya watendaji naviongozi wabovu tulio nao EL is the best.
 
Ndio maana naamini kuwa badala ya kulivunja atalipangua tu bila kumuondoa Waziri Mkuu.. vinginevyo anao uwezo wa kuliita Bunge wakati wowote ule... sidhani kama kuisha kwa kikao cha Bunge leo ina maana hawezi kuitisha kikao maalum ndani ya siku 14 baada ya kulivunja baraza la Mawaziri.
 
Endapo atavunja baraza, Rais sitashangaa atamrudisha Lowassa kama Waziri Mkuu na kuunda timu mpya kabisa ambayo ni yeye na wakuu wengine wa CCM wataiunda kumzunguka Lowassa.

Hapo mimi naamini Lowassa hatoweza achwa.
Ikumbukwe pia IPTL,na mikata mingine mibovu ni gharama kwa serikali. Tunao marais wastaaafu watatu (Mwinyi, BWM na Salmin) ni gharama kwa serikali maana hawazalishi chochote. kuna mawaziri wakuu wastaafu (Maalim Seif, Salim, Msuya, Warioba,JSM, Sumaye na wengine) wote hawa ni gharama kwa serikali so kumwacha EL ni kuongeza gharama kwa serikali. hii ndio janja hata aliyotumia BWM kumwacha Sumaye

Nawakilisha
 
Statement ya "kuvunja Baraza la Mawaziri" ina maana moja tu!

Nayo ni kumwondoa Wazuri Mkuu kwenye kiti chake; maana yake Rais anavunja baraza la mawaziri ili uteue waziri mkuu mwingine/mpya, na baada ya uteuzi, Rais anashirikiana na Waziri Mkuu mpya kuunda baraza jipya la Mawaziri.
Huwezi vunja baraza la mawaziri alufu umrudishe waziri mkuu wa awali. Ikitokea hivyo, hayo yanaitwa mabadiliko ya. baraza la mawaziri ya kawaida regardless extent ya changes.Sana sana waandishi tu ndio wataita mabadiliko mkubwa/madogo ya baraza mawaziri.

Kisiasa kuvunja baraza mawaziri ni jambo la tatu kwa uzito analowezafanya Rais:-
La kwanza likiwa Kutangaza Vita dhizi nchi nyingine,
La pili kuvunja bunge wakati usio wa uchaguzi,
La tatu ni hilo la .. Kumwondoa waziri mkuu ambao, kisiasa/kikatiba unasema unavunja baraza la mawaziri, Huwezi kumwondoa waziri mkuu hali ya kuwa mawaziri wengine wabakie lazima Rais avunje baraza la mawaziri.
 
Kilitime umesema pointi kubwa sana kueleweka kuwa huwezi kuvunja Baraza la Mawaziri na kumuacha Waziri Mkuu, lakini inawezekana kabisa kwa Baraza kuvunjwa na Waziri Mkuu akarudishwa tena. Kimsingi hili pia ni tatizo letu la Kikatiba; Waziri Mkuu haundi Baraza lake (kama nchi nyingine zenye mtindo wa Waziri Mkuu kuunda baraza lake). Hivyo kwanini usimuondoe Waziri Mkuu bila kulazimisha kuvunja Baraza la Mawaziri ambalo Waziri Mkuu ni mjumbe tu na siyo Mwenyekiti wa Baraza hilo?
 
Yaani hii nyepesi kweli nimechukua mda kuangalia mizenguo yote kabla hii kitu haijafanyika na nimegundua wengi hawakuwa na Uhakika wa ushindi...rejea sio page nyingi halafu uone.
Yaani sio uvumi tena!
wenu,
Mdakuzaji. Mdaku-Kuzaji.
 
Back
Top Bottom