Msomaliii
Senior Member
- Jul 24, 2018
- 189
- 256
Unapoongelea suala la usalama ni eneo pana sana kiuteñdaji na wamwgawanyika kutokana na majukumu yao ingawa conclusion hua ni usalama kwa sehemu husika. Hua kuna nadharia kadhaa kulingana na Huyu anayeitwa KIGOGO HUKO TWITTER, Kuna uwezekano akawa mtu wa ijnr ya mfumo wa TISS ila akawa mtu wao kwa maana anapewa nyenzo zote na wao kwa nia ya kubughuzi na kutia wenge wale waliodhani system iko weak ktk weledi wa kazi husika, hii ina maana hata wale wa ndani kuna wasaliti na ndo wanaotafutwa zaid. Pia kuna uwezekqno kweli huyu jamaa anajua mifumo yao ilivyi weak na namna gani ya kucheza nao ndo maana hata waziri amesema wanakaribia kumnasa ila utabaki pale pale kwqmba ni mtu wao na pia kunà iwezekani anachosema ndo wanachotaka tukijue kati ya siri walizonazo. Umakini muhimu sanakati ya hizi taarifa tunazopata.Sio kwamba kwenye utawala wa BM na JK siri za serikali na viongozi wake zilikuwa hazivuji zilivuja ila sasa imekuwa too much.
Alianza Mange kuvujisha mambo very sensitive na alileta taaruki kweli na baadhi ya mambo ulikuwa ukitizama unaona kabisa yanatoka ndani jikoni.
Sasa hivi Kigogo kuna muda anazusha sawa ila kuna muda anaongea ukweli 100%.
Tujiulize nani anampa taarifa? je kama yupo ndani hakuna tatizo? hata kama hayupo ndani je waliopo kama hawana umoja hakuna tatizo? TISS kuna tatizo lazima tukubali kwanza!
Je ni kutokana na "TISS field officer" wakienda na kuleta taarifa hazifanyiwi kazi kulingana na matakwa ya mtu mmoja? Wakipuuzwa wanauza taarifa za usalama?
Pls Diwani rekebisha mambo ingawa its to late! Kwako kuja kutolewa kama Kapilimba kuna viashiria vyote vinaonyesha Idara imegawanyika sana kuliko kipindi chochote toka tupate uhuru.