Uvimbe ndani ya mdomo unasababishwa na nini?

Mkwawa mnyalukoro

JF-Expert Member
Oct 11, 2017
214
250
Wadau nina miaka kumi sasa kuna uvimbe mdomon nimetumia dawa ya kusukutua mouth wash lkn tatizo bado lipo nimeendea hospital lkn tatizo halipon nini tatizo na kama ni ngoma nimepima sana tu jaman nisaidien kwa kuwa hili tatizo linanitesa sana na lilianza kama kaupele hivi mdomon.
 

Titicomb

JF-Expert Member
Jan 27, 2012
9,605
2,000
Hatua ya kwanza nenda hospital kubwa kamuone daktari hasa Dentist. Hapa tutakutisha sana sabubu hatuoni uvimbe wa namna ipi na upo sehemu gani mdomoni.

Inaweza kuwa ni dental cyst au cancer, au shida nyingine ndogo tu. Kikubwa usiogope au usikimbile kujitibu mwenyewe kila dawa unayo shauriwa na wasio watabibu kitaaluma.

Labda tuma picha ya uvimbe wenye taaluma yao watakusaidia.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom