HahahaWazee wenyewe wanapinga chanjo balaa. Watoto wao wanawalisha sumu.
Walijitokeza kwenye chanjo hiyo,kwani wengi kwa kulishwa maneno,waliyameza Bila kujali hata kama yalikuwa sumu,kisa tu, yalikuwa maneno ya fulani, na mzimu huo ndio unaowatesa bado kwenye suala la chanjo.tangu kuletwa kwa chanjo kipaumbele ilikuwa ni kuwapa chanjo umri 50+
ila sasa tangu wameanza kupatiwa hiyo chanjo hao 50+ kumekuwa na ongezeko la vifo vya 50+
je, hii chanjo haisaidii?
Vituko vya nchi zetu za bara la giza. Wanakimbilia kuficha ukweli ambao unaweza hata kuwa ni somo kwa wengine. Inajulikana chanjo zina side effects halafu kuna mtu analopoka eti iwe siri mtu akipata side effects.Kwani alichanjwa? Kama amechanjwa isisikike, hii ni operesheni ya kitaifa.
Tatizo wengi hawakuchanja baada ya kumsikiliza kwa makini gwajima.tangu kuletwa kwa chanjo kipaumbele ilikuwa ni kuwapa chanjo umri 50+
ila sasa tangu wameanza kupatiwa hiyo chanjo hao 50+ kumekuwa na ongezeko la vifo vya 50+
je, hii chanjo haisaidii?
Ninavyojua ni kuwa unapunguza uwezekano wa kuambukizwa na pia madhara yatakayokupata ikiwa utaambukizwa.Mkuu, nani alikuambia kuwa ukipata chanjo huambukizwi corona?
Ebu sikiliza hii kutoka huko majuu:
View attachment 1900781
Wengi wamegoma kuchanja kwasababu wazijuazo wenyewa,hivyo tuache kusingizia chanjo.Tatizo wengi hawakuchanja baada ya kumsikiliza kwa makini gwajima.