Uvccm.yaendeleza majeshi kupambana na hiv/aids.

Asenga wa Pakaya

JF-Expert Member
Jul 13, 2012
260
60
Ni mfano mwema
Twendeni pamoja.

Biafra j2 kuanzia saa 7 mchana

Dk slaa amealikwa.anatarajiwa kupima hadharani HIV

WASANII KIBAO WATAKUWAPO
 
Acha uvivu wa kuandika wewe sasa hapo tunaelewa nini kwa nini usifafanue tukio zima unakuwa kama bavicha wanaovutia bangi chooni.
 
Ni mfano mwema
Twendeni pamoja.

Biafra j2 kuanzia saa 7 mchana

Dk slaa amealikwa.anatarajiwa kupima hadharani HIV

WASANII KIBAO WATAKUWAPO

Bora kama mmejitambua maana makada wenu wanateketea nyumba za kulala wageni pamoja na matumizi ya dawa za kuongeza nguvu za kiume kiholela

Mapambano dhidi ya UKIMWI ni zaidi ya kupima hadharani badala yake ni uthabiti wa kisera

Uganda waliweza.UVCCM kama taasisi ya vijana haijawahi kuja na mapendekezo concrete kuhusu hili pamoja lile la matumizi ya dawa za kulevya

Hivi impact ya kupima hadharani kwa siku moja kwa mwaka inachangia kiasi gani katika vita hii wakati kwa mwaka mzima makada wenu tena viongozi wako on na off kama vile wapo kwenye dating rampage through out?

Kinachohitajika ni mikakati kabambe ya muda mrefu kwa programme mbalimbali

Tuwekeze kwenye elimu,mipango ya kuboresha maisha ya vijana kama uzalishaji wa ajira za kutosha n.k

I hope siku hiyo mtamwalika pamoja na kumshinikiza yule mzee wenu mwenye kashfa ya ubakaji awajibike kisiasa na kuchukuliwa hatua za kisheria nje ya hapo huo ni unafiki na fedheha kwenu
 
Back
Top Bottom