UVCCM wawili waliotembea kwa miguu kutoka Dar hadi Musoma wapewa zawadi na Rais Samia. Hongera zao Km 1400 sio mchezo

Hivi mtu na akili zako kama una biashara zako na watu wa kukutegemea utapoteza muda kutembea Dar mpaka Mara ili tu kuunga mkono! Huku ni kutokuwa na kazi tu
Unafikiri kila mtu anakula kwa mitulinga!!!..wengine wanafanya kazi miezi miwili wanakula miezi 18
 
Kutoka Dar hadi Musoma kwa kupitia Maswa hazifiki 1400 km na hata ukizungukia Mwanza pia hazifiki 1400 km.
 
Kutoka Dar hadi Musoma kwa kupitia Maswa hazifiki 1400 km na hata ukizungukia Mwanza pia hazifiki 1400 km.
Kutoka dar to mwanza ni km 1200, mwanza kwenda Musoma ni km 220.
Jumlisha
 
Binti apimwe kile kipimo cha akina mama baada ya kutembea na huyo jamaa 1400km
 
Kwa hiyo wametumia siku 60 bila kupumzika usiku na mchana huku wakila wanatembea bila kulala yaani walianza safari mwaka jana
 
Kutoka dar to mwanza ni km 1200, mwanza kwenda Musoma ni km 220.
Jumlisha
Kwanini upitie Mwanza wakati kuna shortcut ya Maswa?
Dar--Mwanza ni almost 1154 hv km
Musoma--Mwanza ni 200km kibao kipo pale KISESA (kama sijakosea jina,maana Kisasa ni Dom)
 
...hahahaa! ilikuwa kuna mashindano ya kutembea!? hawakuwa na kingine chakufanya? hawana kazi?! rais anaendekeza haya mambo! kw nn hawasemi walondoka lini? walipita njia ipi hata tusiwaone? walilala wp?!
kutembea kiushabiki wa kivyama ndo uzalendo! mpaka kumhusisha rais! na wanapewa zawadi! hawakusema ni zawadi gani hiyo, imenunuliwa na nani! au ni pesa za kodi yetu!?
wasimhusishe rais na vitu vya aina hii, ana shughuli nyingi ...dah!
 
Back
Top Bottom