UVCCM watishia kuandamana

Wala hawajifunzi kutoka Egypt.

Hivi CCM wanajua kama Egypt uchaguzi uliopita Chama tawala walishinda kwa 95%, hiyo haikuwa na na maana ya kukubalika, umma ulipoamua kuingia barabarani wote tumeona.

Hebu fikiria kwa mfano uchaguzi uliopita bongo turnout ilikuwa 40%? na hao 60% waliobaki haina maana kwamba wanawa-support walioshinda sana sana ni mgomo baridi dhidi ya mfumo ambao hautarajiwi kubadali chochote katika hali tuliyonayo, ... vipi wakaamua kuingia barabarani kudai demokrasia watawala watakimbilia wapi?
 
Hivi mtu gani mwenye akili mgando akae chini amsikilize eti ridhwan anapingana na baba yake?,,,,Ni ujinga mtupu... Hao Uvccm wanaishi kwa hizo hela za kifisadi,,,hawa wote ni kuwachoma moto tu..
 
We ngoja tu watawafuata mpaka watoto wa shule ya msingi wakiamin na wao walimpigia kura slaa. Ila nasema vjana hatudanganyik na propaganda za maji taka
 
UVCCM hivi sasa wanakutana na wanafunzi wa UDSM ktk ukumbi wa Vijana Social Hall Kinondoni na hapo Riz1, Bashe na Shigela wametoa matamko mazito dhidi ya serikali. Wamerudia kama yale ya tamko lao, Bashe kazungumzia Dowans
Waache unafiki wote hao ni zao la ufisadi,walikwina!
 
Ningelikuweo hapo, ningelimuuliza Ridhiwan sababu hasa ya kulalama wakati baba yake ni RAIS na kwa katiba ya Tanzania, baba yake anaweza kila kitu.

Badala ya kuja kucheza SINEMA mbele yetu, kwa nini asingelikaa na baba yake huko Bagamoyo na wakalijadili hili na aje na maelezo ya JINSI alivyomshawishi baba yake ili mambo yabadilike?

Mwisho ningeliwauliza kama ni BUSARA na HESHIMA kumrushia Matusi Dr Slaa......... wakati huo kesi yake iko Mahakamani. Kwa Mwansheria kama yeye lazima ajuwe kuwa huwezi kuongelea swala ambalo liko mahakamani.
 
analala nyoka, anamka kondoo,.aint possible,its a pure script,we know them better than that.
 
Jamani watu wanabadilika, labda ndo mtizamo wa ccm sahizi kwenda na upepo uliopo. Mmesahau msimamo wa CC kuhusu dowans ulivyobadilika within a week baada ya wabunge wao kukubaliana kutokubaliana na msimamo wa CC yao
 
Hawana jipya leo wanahaha baada ya kumtukana slaa na kuona wanazidi kumpa umaarufu sasa wanataka kuteka mijadala yetu. Hivi riz atoke ampinge babake aliyekuwa anampigania kwa nin asingempinga toka kampeni. Hawana lolote. Mafisadi hao wanatupaka mafuta kwa mgongo wa chupa

uko very sahihi mkuu.
 
... msiwadharau hao wanajua wanachofanya tena wanayo pesa ya kuchezea, mkijashtuka vijana wengi watakuwa wamefuata mkumbo kwa ajili tu ya bakhshishi, ... kumbukA mkono mtupu haulambwi!

umenena ndg yangu, hawa sio wa kuwadharau ni wa kuwatengenezea strategies wasije wakaeneza sumu yao kali na kuharibu vijana wa Tanzani, kinga ni bora kuliko tiba,
hawa viwavi jeshi wa ccm ni hatari sana kwa taifa hili wamezoea matusi tu
 
hawana lolote ni kujaibu kututeka, hawajanipata kwa kupitia political strategies kama hizi
 
Well vijana wametoa matamko matatu...1.kuunga mkono tamko la UVCCM juu ya bodi ya mkopo...2.kuamrisha serikali IVUNJE bodi ya mkopo 3.endapo serikali haitafanya hivyo basi UVCCM iandae maandamano ya nchi nzima.....Malisa akamaliza kwa kusema 'VIJANA HATULALI MPAKA KIELEWEKE...ALUTA CONTINUA'
 
Wametumwa hao.
Baba zao wamegundua kuwa vijana ndio nguzo kuu ya CDM na ndio wengi wao wanaoumizwa na utawala wa ccm hivyo wanataka sapoti ya vijana wasomi. Nadhani wamechelewa. Watu wanataka kuona performance sio maneno.

sasa hao wa CCM hawakubaliki hawana uwezo, na mtoto wa nyoka hawezi njiwa kazi kwao.
 
Tatizo ninaloliona ni kuwa vijana wa Chadema bado hawajawa radical enough.. sasa UVCCM ndio wanaonesha njia. Yale ambayo yalikuwa yafanywe na vijana wa upinzani yatafanywa na vijana wa CCM! A classic example of political triangulation!
 
Nyama choma Nyama, choma na moja ya baridi, lete raha wazee tukumbuke
Mombasa siendi tena kuna dogodogo nyingiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii:msela:
 
Tatizo ninaloliona ni kuwa vijana wa Chadema bado hawajawa radical enough.. sasa UVCCM ndio wanaonesha njia. Yale ambayo yalikuwa yafanywe na vijana wa upinzani yatafanywa na vijana wa CCM! A classic example of political triangulation!

What am seeing is different, kuna wimbi la migomo vyuo karibu vyote TZ.....

UVCCM inajua vijana walichagua CDM, UVCCM inajua vijana ndio waliopiga kura wengi , UVCCM is not stupid! Inajua pa kuwashika vijana ni kuvunja bodi ya mikopo, they are poised to win big on uni students!

Mashinikizo yote yanayotolewa ni ili iwe agenda ya 2015...other parties and particulary youths beware!
 
Kwanini UVCCM wanapata platform sehemu kama UDSM? Kitu gani wanataka kudiscuss na wanafunzi leo hii? Walikuwa wapi miaka yote 50? Hii ni njama ya CCM na trust me UVCCM na maneno wanayo yatoa hivi karibuni ni calculated move na strategy ya Kamati kuu ya CCM kuonyesha wanajali au kuna effort za kuchange CCM. Kama UVCCM wanapenda nchi yao waende wakawaambie viongozi wao na kuomba muda THC na ITV, vyombo vyao vya habari ili waseme madhambi yao yote na jinsi gani wataondoka serikalini ili Taifa lianze upya kujenge Institutions setu. UVCCM wasipewe platform anymore in universities.

"CCM Ondokeni Serikalini Taifa Letu Tulijenge Upya"
 
Tatizo ninaloliona ni kuwa vijana wa Chadema bado hawajawa radical enough.. sasa UVCCM ndio wanaonesha njia. Yale ambayo yalikuwa yafanywe na vijana wa upinzani yatafanywa na vijana wa CCM! A classic example of political triangulation!


Hapo nakupata Mzee mwenzangu.

Vijana wa CDM wamelala, wako Butu, wanafuata nyumanyuma kaa mkia wa ndezi hawako active wamwemwachia Mzee wetu Dr Slaa kuanzisha mashambulizi na kuyaendeleza THIS IS A SHAME UVCDM

Nani ni Mwenyekiti na nani ni katibu wa umoja wa vijana ndani ya CDM??
Tangu mpambano huu uanze amefanya nini ili kuwa ncha ya mkuki wa mapambano ndani ya CDM??
Ni nini msimamo wa UVCDM kuhusu Dowans na mambo mengi ndani ya CDM??

Viongozi wa UVCCM wanapata CREDIT za bure hapa kwa sababu UVCDM wamelaza damu BIG TIME.
 
Back
Top Bottom