Euphransia
JF-Expert Member
- Jan 26, 2017
- 937
- 778
Wakati Mh.Paulo Makonda anawataja wanaojihusisha Na madawa ya kulevya awamu ya pili UVCCM wakiibuka Na kumpongeza Mh.Makonda Na kuahidi kufanya maandamano makubwa yakumpongeza.Tulitarajia maandamano hayo yangekuwa yakufana sana lakini Manji, Gwajima Na Mbowe walipotishia kumshtaki Na pia Waziri MKUU alipotangaza kuwa hakuna kumtaja MTU jina kabla ya Uhakiki nao UVCCM wako kimya sijui nini kimewasibu .Tunawaomba muandamane.