sirluta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2012
- 6,325
- 2,487
"Chama chetu kina mfumo,huwezi kugombea nafasi yoyote mpaka uwe mwanachama ndani ya miaka mitano. Tumefanya hivyo kwa lengo la kuwaondoa watu wenye uchu wa madaraka.
Lakini huwezi kuwalinganisha vijana waliopo Chadema na kwetu. Sisi tuna vijana wengi wazuri tu; mfano tulikuwa na marehemu Amina Chifupa,sasa tuna Àsenga Abubakar,Mtemi Sylvester Yaredi, Kheri James, Olivia Sanare, Sarah
Msafiri etc.
Huwezi kumfananisha January Makamba na Afande Sele au ukamchukua Nchimbi ukamfananisha na Sugu,hivyo ni vitu ambavyo haviendani kabisa. Hata hivyo ukiangalia ni wazi kuwa wabunge wengi wa Chademani vijana waliokuja CCM wakaomba kadi, wakawa wanachama, wakaomba kugombea ubunge, taratibu zetu zikawabana,wakaondoka kwenda upinzani, wakachukua kadi wakagombea.
Kwa hiyo kama tungekuwa tunataka hazina ya wabunge,Sugu, Ester Bulaya
walipoomba kugombea ubunge, tungekubali leo wangekuwa wabunge kupitia
CCM, lakini sisi hatuangalii hilo. Tuna misingi yetu ambayo ni kumfundisha na
kumkuza kijana kwanza kabla hajagombea"
Mhe. Mboni Mohammed Mhita,
Makamu Mwenyekiti wa
UVCCM - Taifa.