Sudysoko
JF-Expert Member
- Aug 19, 2015
- 449
- 180
Jumuiya ya Umoja wa Vijana Chama Cha Mapinduzi(UVCCM) leo kimefanya Uzinduzi wa Matembezi ya Kuadhimisha Miaka 53 ya Mapinduzi Zanzibar.
Matembezi yamezinduliwa rasmi leo Donge Mkoa wa Kaskazini Unguja na Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Bara Comred Rodrick Mpogolo.
Miaka 53 Ya Mapinduzi ya Zanzibar
Mapinduzi ya Zanzibar
Karibuni Zanzibar
Zanzibar.